Kuna watu wanadhani 2024 watapata ahueni. Ni namba tu zimebadilika. Kama hujabadilika msoto uko palepale

Kuna watu wanadhani 2024 watapata ahueni. Ni namba tu zimebadilika. Kama hujabadilika msoto uko palepale

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Angalia ni nini kilikuwa kikwako kwako 2023 kabla hujaanza kuota ndoto za abunuasi 2024.

• Je, ulevi ndio ulikuwa kikwazo?
• Uzinzi?
• Kutokuaminika?
• Kukosa elimu na sifa za kuajiriwa?
• Kutoa sadaka kipumbavu?

Maana kuna watu hutoa mpaka sehemu waliyopaswa kutumia wao kwa upumbavu wao.

Imagine mtu anaambiwa ajimalize na muhuni mmoja ilhali huyo muhuni hajawahi kutendewa na Mungu muujiza wa kupata pesa, katajirika na pesa za watu tu.

Usipobadilika maisha yatakufanya kitu kibaya zaidi ya miaka iliyopita.

HERI YA MWAKA MPYA.
 

Attachments

  • 1704058244761.jpg
    1704058244761.jpg
    46 KB · Views: 3
Back
Top Bottom