Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Hivi nchi ya kwanza kuizunguka dunia anga za juu utasema sio super power? Nchi ya kwanza kudetonet bomu kubwa kabisa la nyuklia duniani ambalo sauti na kishindo chake hakijawahi kurekodiwa popote pale ulimwenguni.
Nchi ambayo kwa wingi wa rasilimali zake hakuna taifa lolote linaikaribia duniani. Uingereza inaingia mara 70 kwa urusi 17000000km2 vs 247000km2. Mabomu ya nyuklia ndio nyumbani kwao kwa wingi wake USA anasubiri.
Kama zilivyo nchi zote za ulaya na marekani upatikanaji wa umeme majumbani ni 100% hata urusi ni hivyo hivyo warusi wana umeme majumbani kwao kwa 100% na haukatiki daima. Jiji la Moscow jiji lenye ma skyscrapers mengi Kati ulaya yote hakuna cha london Paris cologne wala Rome.
Msidhani Russia ni Ushelisheli.