kuna watu wanajifanya wapo marekani wanatafuta wachumba wa bongo kuweni makini

kuna watu wanajifanya wapo marekani wanatafuta wachumba wa bongo kuweni makini

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Sasa hivi baadhi ya madada wa bongo wameanza kuiga tabia za wanigeria. Wanajifanya wapo nje ya nchi na wanataka wachumba kutoka bongo. wengi wao ni vibaka. kaeni chonjo. ni hayo tu. sitake kesho tuanze kulaumiana sijui jf nini na nini, hapana.
i love you. mia
 
mkuu wewe unaenda mbali sana hata humu jf yapo matapeli ya mapenzi yanajifanya yanataka watu wasomi kumbe mamuluki tu tuwe makini sana
 
hahahaha masister du wana kazi kweli kweli,wangejua life la box lilivyotyt
 
Janet shawa,facebook::tapeli mbaya:::::Kiwanuka Virus
 
Mzee mia umesha ingizwa king nn?
 
Si wanajua vijana wengi bongo wakiambiwa USA tu kwisha kazi coz of most of them believe huku life simple compared to back there!!!
 
Si wanajua vijana wengi bongo wakiambiwa USA tu kwisha kazi coz of most of them believe huku life simple compared to back there!!!
Haaahaaaaa, mkuu hapa na wewe umeamua kuweka tangazo la biashara au???
 
mtu wa marekani atamporaje mtu wa bongo?
Hapo lazma upite mwaka ama miezi sita ndio wakutane.

Kuna mchezo wa kubambikiana wanaume, yeye mwenyewe yupo marekani anabeba mabox, na shoga ake yupo bongo anamunganishia na wewe na kumuamia ajifanye ndie yeye wa marekani. :A S 100::A S 100::A S 100:
 
Mzee mia umesha ingizwa king nn?

chezeya figganigga weye?. wataanzia wapi? nawastua wale watu wakuja. manake roho inauma wanapo kuwa wanalalamika kitaa. asiye amini awashobokee aone. Madame B anawajua vizuri. mia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom