kuna watu wanajifanya wapo marekani wanatafuta wachumba wa bongo kuweni makini


wewe una akili sana. hata madada zetu wanalizwa sana. wanatoa hela ili waunganishiwe jamaa wanatokomea kenya eti wanafuata visa. anaambulia simu wakati katoa mamilioni. mia
 
muhimu ni KUJITAMBUA, wala si kuwa macho na wanaojifanya wapo Kigoma, au Marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…