Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
yani kila ukiwela status wao wamo hata upost usiku wa sa ngapi huu ni ufala acheni mambo ya kufatiliana maisha
Hivi rafiki zamani ulikuwa unatumia ID gani?Sasa umeweka za nini? Acha kuzuga watu
Ni love b. Sijawahi kuwa na nyingine zaid ya hiiHivi rafiki zamani ulikuwa unatumia ID gani?
Rafiki naanza kukupenda taratibu!Ni love b. Sijawahi kuwa na nyingine zaid ya hii
Lengo la kuweka status ni nini?yani kila ukiwela status wao wamo hata upost usiku wa sa ngapi huu ni ufala acheni mambo ya kufatiliana maisha
Ohh asante. Nakupenda pia, japo najua siku zangu zahesabika sababu sina kile kigezo chako pendwaRafiki naanza kukupenda polepole!
Chura haipo?[emoji2955][emoji2955][emoji2955]Ohh asante. Nakupenda pia, japo najua siku zangu zahesabika sababu sina kile kigezo chako pendwa
Haipo rafiki. Labda nikaitafute kwa mchina![emoji126] [emoji126]Chura haipo?[emoji2955][emoji2955][emoji2955]
Rafiki kama chura haipo hata hapa JF hutakiwi![emoji2089][emoji2089][emoji2089]Haipo rafiki. Labda nikaitafute kwa mchina![emoji126] [emoji126]
Hahahaaaa!!! Jamani! Hutakiwi kunitenga hivyo. Ukinifukuza unaweza kukosa vingi vizuri zaid ya hiyo chura.Rafiki kama chura haipo hata hapa JF hutakiwi!
Vingi vizuri vipi?Hakuna zaidi ya chura rafiki!Hahahaaaa!!! Jamani! Hutakiwi kunitenga hivyo. Ukinifukuza unaweza kukosa vingi vizuri zaid ya hiyo chura.
nauona mwendo wa kobe hapaVingi vizuri vipi?Hakuna zaidi ya chura rafiki!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] haya rafiki. Najua siku yangu yaja. Nitampata wa 'kufanana nami'Vingi vizuri vipi?Hakuna zaidi ya chura rafiki!
Nipo na rafiki yangu mpendwa,kaa pembeni mkuu!![emoji16][emoji16][emoji16]nauona mwendo wa kobe hapa
wallah nakaa wala sitii shobo hapoNipo na rafiki yangu mpendwa,kaa pembeni mkuu!!