Kuna watu wanakunywa BIA hatari.

Upo Prim Rose nini tangi bovu! maake nipo ya 5 na chakula bado! ukizingatia nipo likizo ni ndwagi tuuu!
 
Jaribu siku moja uje utupe ushuhuda.Kutoka hali ya kufurahia kinywaji mpaka kuwa kero ni nini kinachojiri apo kati..

Sinywi bia. Naona kama ni mataputapu fulani hivi.
Nakunywa mvinyo tu. Ndo kulevi changu.
 
hao ndio wanaume was dar wanakunywa Heineken, Windhoek na c lite...alafu wanazima daaah!! ukiwapa balimi je??
Usifikiri watu wote ni wachafu na washamba,balimi ndio uchafu gani?mwanaume unajisifu kunywa mataputapu?acha upuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…