Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Orodhesha hayo matukano tuyachambue kama yanafaa au tumfokee mtukanaji.🤔Kuna dharau ila hii inavuka mpaka!!
Kuna watu wanaleta utamaduni wa hovyo wa kutukana viongozi wa nchi. Ndugu zangu hiyo sio demokrasia ya midomo.
Hata waliotuaminisha hayo kwenye nchi zao sijawahi kuona kiongozi anatukanwa kiasi hiki.
Marekani hii kitu haipo. Je, tunafundisha nini kizazi kinachokulia mtandaoni? Kwamba kukosoa ni kutukana.
Basi tu, mna kiongozi mpole na anayejua kupuuzia mambo ila nitakubali kukosolewa ila si kudhalilishwa wala kutukanwa.View attachment 3116625
Sijakuelewa ni Nini una Manisha.Mkuu nisaidie kwani Mtu akisema vibaya kuhusu utendaji wa kazi wake ni matusi au
Na hii inakula kotekote...kiongozi aheshimu wananchi na wananchi waheshimu viongozi. Kifupi watu wote WAHESHIMIANE bila kujali ni kiongozi au ni mwananchi asie na cheo.Kuna dharau ila hii inavuka mpaka!!
Kuna watu wanaleta utamaduni wa hovyo wa kutukana viongozi wa nchi. Ndugu zangu hiyo sio demokrasia ya midomo.
Hata waliotuaminisha hayo kwenye nchi zao sijawahi kuona kiongozi anatukanwa kiasi hiki.
Marekani hii kitu haipo. Je, tunafundisha nini kizazi kinachokulia mtandaoni? Kwamba kukosoa ni kutukana.
Basi tu, mna kiongozi mpole na anayejua kupuuzia mambo ila nitakubali kukosolewa ila si kudhalilishwa wala kutukanwa.View attachment 3116625
Upo sahihi Ila Kama MTU unataka usitukanwe mitandaoni na sehemu mbalimbali unabidi ukae mbali na siasa.
Unapozungungumzia viongozi wa nchi wapo pia mbowe .maaskofu .machifu.tatizo lako umejikita kutetea mama samia kwa kumdharau kuwa nimdhaifu wa kupenda sifa hivo umeandika maunafiki .ila ungetulia ulikuwa na point nzuri tuView attachment 3116625
Kuna dharau ila hii inavuka mpaka!!
Kuna watu wanaleta utamaduni wa hovyo wa kutukana viongozi wa nchi. Ndugu zangu hiyo sio demokrasia ya midomo.
Hata waliotuaminisha hayo kwenye nchi zao sijawahi kuona kiongozi anatukanwa kiasi hiki.
Marekani hii kitu haipo( wanakosoa kwa staha si matusi kwa kiongozi). Je, tunafundisha nini kizazi kinachokulia mtandaoni? Kwamba kukosoa ni kutukana.
Mpaka sasa naanza kusikia chuki za kidini na kikanda kutoka kwenye vinywa vya viongozi tulioona wana akili.
Basi tu, mna kiongozi mpole na anayejua kupuuzia mambo ila nitakubali kukosolewa ila si kudhalilishwa wala kutukanwa.
Au usiwe KiongoziUpo sahihi Ila Kama MTU unataka usitukanwe mitandaoni na sehemu mbalimbali unabidi ukae mbali na siasa.
View attachment 3116625
Kuna dharau ila hii inavuka mpaka!!
Kuna watu wanaleta utamaduni wa hovyo wa kutukana viongozi wa nchi. Ndugu zangu hiyo sio demokrasia ya midomo.
Hata waliotuaminisha hayo kwenye nchi zao sijawahi kuona kiongozi anatukanwa kiasi hiki.
Marekani hii kitu haipo( wanakosoa kwa staha si matusi kwa kiongozi). Je, tunafundisha nini kizazi kinachokulia mtandaoni? Kwamba kukosoa ni kutukana.
Mpaka sasa naanza kusikia chuki za kidini na kikanda kutoka kwenye vinywa vya viongozi tulioona wana akili.
Basi tu, mna kiongozi mpole na anayejua kupuuzia mambo ila nitakubali kukosolewa ila si kudhalilishwa wala kutukanwa.
Mwambie Samia .haiwezi na haijawahi kutokea Giza na Nuru kukaa pamoja, yaani hawezi akawa anataka vyote Democrasia na udikteta kwa wakati mmoja. Aamue moja. Hata maji na mafuta haichangamani. Huwezi ukahubiri amani mchana, utekaji usikuView attachment 3116625
Kuna dharau ila hii inavuka mpaka!!
Kuna watu wanaleta utamaduni wa hovyo wa kutukana viongozi wa nchi. Ndugu zangu hiyo sio demokrasia ya midomo.
Hata waliotuaminisha hayo kwenye nchi zao sijawahi kuona kiongozi anatukanwa kiasi hiki.
Marekani hii kitu haipo( wanakosoa kwa staha si matusi kwa kiongozi). Je, tunafundisha nini kizazi kinachokulia mtandaoni? Kwamba kukosoa ni kutukana.
Mpaka sasa naanza kusikia chuki za kidini na kikanda kutoka kwenye vinywa vya viongozi tulioona wana akili.
Basi tu, mna kiongozi mpole na anayejua kupuuzia mambo ila nitakubali kukosolewa ila si kudhalilishwa wala kutukanwa.
Kutukana ni nini na kukosoa ni nini?View attachment 3116625

Wapuuzi hawa wanazungumzia hisia hawana wajualo masikiniMarekani ipi?
Huo ni uchawa mnaoleta, hebu tuonyeshe tusi moja alilotukanwa. Si lazima apongezwe hata anapokosea, jinsi alivyohandle issue ya watekaji na wauaji akiwa mfariji mkuu mnaona ni sawa?
Pia uhakikishe unatenda haki na kuisimamia na uonekane unachukizwa na uovuUpo sahihi Ila Kama MTU unataka usitukanwe mitandaoni na sehemu mbalimbali unabidi ukae mbali na siasa.
Ukitaka kujua watu Wana mateso kiasi gani nafsini mwao soma lugha wanayotumia kuzungumza au kuwasilisha mambo yao,ukiwa ni kiongozi mwenye Akili TIMAMU unajifunza kwa haraka sana lkn ukiwa kilaza ni ngumu kuelewa na unaweza kuja kuelewa mambo yakiwa yamesha haribika kwa sababu ya ugumu wa Akili ya kiongozi inayochelewa kuelewa mapema.View attachment 3116625