Kuna watu wanatakiwa kujitathimini ndani ya Yanga, sio kwa wizi wizi huu!

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Sajili mbovu ambazo sio mapendekezo ya Kocha, Mf. Yule golikipa ambaye yupo
mapinduzi ambaye kocha Zahera alimkataa. Si ajabu kukuta kasajiliwa kwa mamilioni
ya kwenye makaratasi huku ukweli akiwa kachukuliwa bure au pesa ya fungu la
mchicha.

Haya mambo hayakuanza jana wala juzi ni toka wakati wa Madega, zilifanywa sajili
mbovumbovu ajabu, Mfano ile ya aliyedaiwa kuwa mfungaji bora wa cameroon
Jama Robert MBA.

Hivi hawa watu jamii ya kina NYIKA wanajivunia nini? Kwani hawaiharibu yanga tu
wanaharibu soka la Tanzania kwa ujumla.
 
Haya makwasukwasu nyukaneni tu,..!
Kuna wizi wa bakuli pia...
 

wakati wa madega usajili wote ulifanywa na kocha ...yule mserbia, Dusan...hakuna kiongozi yeyote wakati ule aliyehusika na usajili...Dusan ndiye aliyekuwa akitafuta wachezaji na kuwalipa yeye kwa fedha alizokuwa akichukua kwa Manji...alichokuwa akifanya kocha yule ni kuleta mikataba iliyokuwa tayari imesainiwa ya wachezaji kwa viongozi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…