Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Huyu Prof Janabi yupo na watu ambao kuna kitengo cha propaganda chama tawala kina tumia sana watu ambao wanaweka utofauti au kuwatoa watu kwenye kuuliza ili tu wasigundulike.
Inakuwaje kila prof janab kuzuia ndio hivo ambavyo tukipigiana kelele humu kuhusu kukosekana, mifumuko ya bei na n.k.
Nasikia kaja na swala la kuoga mara tatu kwa wiki nzima.
halafu shida ya maji ndio imepamba.

Bado tu kusema tusimamishe kisimi mara Moja Kwa miezi sita huyu
Labda dishi lake limeyumba. Prof. gani anatoa ushauri kama mganga wa kinyeji?Huyu Prof Janabi yupo na watu ambao kuna kitengo cha propaganda chama tawala kina tumia sana watu ambao wanaweka utofauti au kuwatoa watu kwenye kuuliza ili tu wasigundulike.
Inakuwaje kila Prof Janab kuzuia ndio hivo ambavyo tukipigiana kelele humu kuhusu kukosekana, mifumuko ya bei na n.k.
Nasikia kaja na swala la kuoga mara tatu kwa wiki nzima.
halafu shida ya maji ndio imepamba.