Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,405
- 13,411
Hii energy wanayoitumia kumchukia Zitto wangekua wanaitumia kujenga Chama na ushawishi wangekua mbali. Toka 2014 mlishasema jamaa ni msaliti, Okay we've understood you well, move on sasa.
Kama vigezo na masharti vya nyinyi kuishi ughaibuni ni kuchochea kuni tu huku hapo mna kila sababu ya kuchukia alichoongea Zitto. Other than that hio chuki yenu imezidi. CDM sasa jitahidini kuangalia nini mnataka kama ni nchi jipangeni kwa uongozi mpya, ukimuondoa Mbowe tu the rest ya uongozi mzima wapo kimaslahi either kwa kuchagua au by default. Mbowe kuendelea kuwepo ndani kwao ni mtaji. Ila nchi za Magharibi hazitawasaidia lolote na wala hawataacha kutoa msaada Tanzania eti kwa sababu Mbowe yupo ndani.
Again, Mabeberu hawajali kuhusu demokrasia barani Africa au sehemu yoyote wanachojali ni maslahi yao tu. Wataingilia nchi kwa kigezo cha demokrasia endapo utacheza na maslahi yao tu, mfano hai ni Rwanda hapo. Wake up CDM na muache hizi cheap politics.