Kuna Watu watataka kufananisha Sikukuu ya CCM 5/2/2025 na Simba Day au Yanga Day Kwenye Kuujaza Uwanja wa Mkapa/ Jamhuri

Kuna Watu watataka kufananisha Sikukuu ya CCM 5/2/2025 na Simba Day au Yanga Day Kwenye Kuujaza Uwanja wa Mkapa/ Jamhuri

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Maana hata Chadema wamesema kuanzia 2026 kutakuwa na Chadema Day kila January 21 Siku ambayo Chadema ilipata Usajili Kamili

CCM hoyeeeeee
 
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina


UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
Back
Top Bottom