Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Dawa ni kuwa na ubwabwa kwenye kikapu kikubwa wakija akina sheikhe ubwabwa unawarushia wanakaa kimya.Tetesi stendi ya Magufuli yafurika watu wanao ondoka dar kukimbia maandamano ya gen z #D9.
Gen z wanakuja na maandamano makubwa sana December 9 ambayo hayajawai kutokea africa
===========
Hali ya usafiri katika eneo la Shekilango jijini Dar es Salaam imekuwa changamoto huku idadi ya abiria wanaosaka safari za kwenda mikoani ikiongezeka mapema kuliko ilivyozoeleka miaka ya nyuma.
Kwa kawaida, misururu ya abiria huanzia Desemba 20 kuelekea Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.
Hata hivyo, safari hii msongamano huo umejitokeza mapema, jambo lililowashangaza hata wasafirishaji wa magari ya mikoani.
Katika eneo hilo maarufu kwa vituo vidogo vya mabasi na ofisi za makampuni ya usafirishaji, hali ya hekaheka imetawala, kuanzia asubuhi ya leo Jumatano, Desemba 3, 2025 huku foleni za abiria na magari zikisababisha usumbufu na kukwamisha huduma za usafiri.
Niaje mkuu.Nyumbu zilizozelata vurugu zimeamua zikimbie mji lakini hata huko mnapoenda mkileta uwendawazimu wenu wa kuiba na kuharibu mali kichapo kipo palepale mtakutana nacho vinginevyo muhame nchi nendeni kenya mkafanye huo uhuni wenu.
Ni kupiga spana kila kona mpaka Gen Z wacheueNyumbu zilizozelata vurugu zimeamua zikimbie mji lakini hata huko mnapoenda mkileta uwendawazimu wenu wa kuiba na kuharibu mali kichapo kipo palepale mtakutana nacho vinginevyo muhame nchi nendeni kenya mkafanye huo uhuni wenu.
Tetesi stendi ya Magufuli yafurika watu wanao ondoka dar kukimbia maandamano ya gen z #D9.
Gen z wanakuja na maandamano makubwa sana December 9 ambayo hayajawai kutokea africa
===========
Hali ya usafiri katika eneo la Shekilango jijini Dar es Salaam imekuwa changamoto huku idadi ya abiria wanaosaka safari za kwenda mikoani ikiongezeka mapema kuliko ilivyozoeleka miaka ya nyuma.
Kwa kawaida, misururu ya abiria huanzia Desemba 20 kuelekea Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.
Hata hivyo, safari hii msongamano huo umejitokeza mapema, jambo lililowashangaza hata wasafirishaji wa magari ya mikoani.
Katika eneo hilo maarufu kwa vituo vidogo vya mabasi na ofisi za makampuni ya usafirishaji, hali ya hekaheka imetawala, kuanzia asubuhi ya leo Jumatano, Desemba 3, 2025 huku foleni za abiria na magari zikisababisha usumbufu na kukwamisha huduma za usafiri.
Story tu kama za kipindi cha corona, unajua utamu wa shaba wewe mbona wahuni hawajaribu tenaTetesi stendi ya Magufuli yafurika watu wanao ondoka dar kukimbia maandamano ya gen z #D9.
Gen z wanakuja na maandamano makubwa sana December 9 ambayo hayajawai kutokea africa
===========
Hali ya usafiri katika eneo la Shekilango jijini Dar es Salaam imekuwa changamoto huku idadi ya abiria wanaosaka safari za kwenda mikoani ikiongezeka mapema kuliko ilivyozoeleka miaka ya nyuma.
Kwa kawaida, misururu ya abiria huanzia Desemba 20 kuelekea Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.
Hata hivyo, safari hii msongamano huo umejitokeza mapema, jambo lililowashangaza hata wasafirishaji wa magari ya mikoani.
Katika eneo hilo maarufu kwa vituo vidogo vya mabasi na ofisi za makampuni ya usafirishaji, hali ya hekaheka imetawala, kuanzia asubuhi ya leo Jumatano, Desemba 3, 2025 huku foleni za abiria na magari zikisababisha usumbufu na kukwamisha huduma za usafiri.
Sasa hawa si waniachie funguo niwe mlinzi wa nyumba zao, haya mambo siyo ya kutapatapa, unapokimbia ndo kinaweza kuwashwa maana haitabiliki.
Form Three.Tetesi stendi ya Magufuli yafurika watu wanao ondoka dar kukimbia maandamano ya gen z #D9.
Gen z wanakuja na maandamano makubwa sana December 9 ambayo hayajawai kutokea africa
===========
Hali ya usafiri katika eneo la Shekilango jijini Dar es Salaam imekuwa changamoto huku idadi ya abiria wanaosaka safari za kwenda mikoani ikiongezeka mapema kuliko ilivyozoeleka miaka ya nyuma.
Kwa kawaida, misururu ya abiria huanzia Desemba 20 kuelekea Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya.
Hata hivyo, safari hii msongamano huo umejitokeza mapema, jambo lililowashangaza hata wasafirishaji wa magari ya mikoani.
Katika eneo hilo maarufu kwa vituo vidogo vya mabasi na ofisi za makampuni ya usafirishaji, hali ya hekaheka imetawala, kuanzia asubuhi ya leo Jumatano, Desemba 3, 2025 huku foleni za abiria na magari zikisababisha usumbufu na kukwamisha huduma za usafiri.
Mkuu nimecheka kijinga sana kama mazuri ,kwamba tz tumeanza kuwa na wakimbinzi ndani sio , akimbii mtuu hapa tutabanana humu humu,Form Three.
What is the definition of Refugees?????
UN- is the state of people or group of people running away from their homes to escape danger or threats to their livelihood.
Form III: What are the steps to save refugees?
UN: Deploy peace keeping forces and construct refugee camps. Give them Unga wa mahindi, maharage na mafuta ya kupikia kwenye matenti