Kuna watu wenye bahati mbaya hapa JF

Joined
Jun 28, 2018
Posts
96
Reaction score
111
Kama heading inavyojieleza hapo juu,

Wakuu kuna watu hapa JF wana bahati mbaya sana kama vile wanalala na bundi, yaani hata alete uzi wenye mashiko kiasi gani lakini atabezwa tu na wala hatopata wachangiaji.

Lakini kitu hichocho kikiandikwa na member mwingine aiseee! Uzi utajaa comment balaa!
 
Last edited by a moderator:
Wengi wa wanasiasa uchwara na wanajijua kwa majina(id) zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…