Kuna watu...

pole wifi yangu. learn how to change ur expectations. angalia njia za kuzuia psychosocial stress,mojawapo ni hiyo ya kutochukulia maisha seriously kama mtm anavyosema,pili ni kuwa flexible.wachukulie watu wote kuwa ni binadamau,wakitenda mazuri just appreciate! wakitenda mabaya ama ambayo hukutegemea waonee huruma manake personality zao ndo zilivyo.usikubali kuwa victim wa mtu,u ar a wonderfull person,created in a unique way na umechukua muda kujijengea personality uliyonayo.waonee huruma ambao hawajaweza kugundua kama wanahitaji kujijengea personality flani! smile bibie,its wknd!
 
sina la kuongezea hapa
 
Wamekufanyaje tena hao watu we mdada wa unga ltd? Kumbe hata wewe huumia? Mi nilidhani we Gangstar lady, disminder... teh! teh! Imekuwaje tena?
 

Lizzy nani kakutenda tena...kweli umesema watu wengine hawana maana hata siku moja, wanajifanya marafiki kumbe ni adui kuliko hata adui mwenyewe...mie nina rafiki zangu toka utotoni, tunakosana tunasameheana wengine ni part time rafiki tu, wanakuja na kuondoka sanasana niwapo na shida nabakiwa na wale wale old school hommiez tu.
 


Lizzy kahug problems hahahaha...nakomelea misumali hapo hapo Gaga ulipoachia, Liizy mkali mno hata maandishi yake tu ukisoma ni short cut...yeye kila kitu yeye tu, ujanja yeye,ukorofi yeye, pia ujeuri yeye......hahaha gaga umeng'ata penyewe...umeiona senkisi yangu lakini?
 
heheeh Lizzy bana! kaibiwa ka handbag kake ka shilling elfu tano na CPU basi imekuwa balaa
 

Pole sana Lizzy; ingawa nakushauri pia jiangalie labda kuna makosa unafanya katika selection na hivyo hilo kosa linajirudia na kukuletea matatizo yale yale! Care Lov.
 
kweli kabisa gaga, mara nyingine sisi wenyewe huwa na makosa ila hatuyaoni. Marafiki wanapotukimbia tunahisi ni wabaya bila kuangalia wapi tumewakosea.Unapokuwa na marafiki huna budi kuishi nae kutokana na vile yeye anapenda. Kuna marafiki wengine ukikutana nao wao ni kuongea porojo na kucheka tu. Hakuna jambo la maana mtakalojadili. Mtu kama huyo huna budi kwenda nae hvyo hvyo anavyopenda ili muweze kupatana.Kuna rafiki wengine ni wagumu kwenye kuwasiliana, mfano mzuri ni mimi mwenyewe, nina rafiki yangu hapigi simu hadi awe na shida au anataka kujua jambo flani, ukimtext umpe hi anaweza akauchuna na sometimes unaweza ukampigia umsalimie asipokee. Sijamchukulia kama ni rafiki mbaya pamoja na hiyo kero na tunaishi kama ambavyo yeye anapenda.Namshauri lizzy aishi na rafiki zake kutokana na wao wanavyopenda, asijaribu kuwafanya rafiki zake wafate matakwa yake maana ataishia kuwapoteza.
 
#

watu tupo bizee tunajenga uadui nyie ndo kwanza mnatafta marafiki?
waswahili bana!
 

Lizzy ulikuwa hujui?
Rafiki yangu wa karibu alinitenda mwenzio sasa sina hamu na rafiki mie...fikilia sana kabla hujaamua kuwa na rafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…