Muda utasema, kama ni kweli walikuwa na mbinu hii, hatutasikia wakilijadili hili suala, kama wakilijadili, watalijadili juu kwa juu ili tusiwajue kama ilikuwa ni mbinu.
Na kama mawazo yangu yameenda mrama, uzi utakuwa ni uleule.
Kama ni kweli ilikuwa ni mbinu ya kutudhoofisha saikolojia ya mchezo, nitashangaa sana kwanini hakuna Mtanzania hata mmoja aliyeigundua janja yao.