Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Kujitambua kuwa wewe ni nani na kuwa mdadisi ni kitu kizuri ila ukishaunganishwa imani tu basi ndo akili inapotea.
Nazungumzia ndugu zetu wenye imani ya kiislamu kwa vijana wenzangu. Maisha tunayotafuta na makazi tunaishi na watu tofauti ila bahati nzuri asilimia kubwa maeneo niliyopo na kazi asilimia kubwa wenye imani ya Kiislamu.
Kiukweli kilichonishangaza siku moja mpaka naeleza hivi kuona mtu mwenye cheo cha sheik akiwaambia vijana kama kupotosha kuhusu mgogoro na vita inayoendelea huko Urusi na Ukraine. Ni kwamba Urusi inaipiga Ukraine sababu anatetea Uislamu, lengine kuhusu vita vya Kagera mpaka kuna CD zimejaza hayo hayo.
Kitu chengine sitasahau sheik mmoja anaeleza kuhusu Rwanda mauaji ya kimbali ni dini wakati ukabila na siasa.
Kuna mengi ambayo vijana wanadanganywa kwa kupandikizwa kitu bila kujua.