Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Mkuu wavaa kobaaz yani hii dini yao isisngekuwepo duniani amini kwamba dunia ingekuwa ni sehemu salama sana kuishi. Matatizo yote ya duniani wameshababisha hawa wavaa kobaaz
Wavaa makobazi shida
1. Vita ya kwanza ya dunia
2. Vita ya pili ya dunia
3. Ujambazi karibu kila siku marekani kwa kupiga risasi
4. Ujambazi Afrika Kusini.
5. Kulazimisha ushoga kwenye nchi zao hadi makanisani
6. Kuharibu akili za mazezeta wao kwa wanachokisema ni hicho hicho bila kufanya uchunguzi kilichosemwa ni kweli
7. Kujibadilisha maumbile ya asili
8. Kufundisha watoto vitu visivyo na maadili.

Ukiwa kafiri mara nyingi unakuwa hautumii ubongo. Kwa akili yako, haya mambo yatakuwa mazuri kisa unachukia uislamu
 
Wewe ukiambiwa utupe ushahidi muandishi wa Quran ni Nani utatoa ushahidi?
Maana mtume mpaka anakufa hapakuwa na kitabu kinaitwa Quran, na Mudy alikuwa mjinga(asiyejua kusoma wala kuandika)
Umeona halafu unataka ujadiliane na Mimi kuhusu historia ?.

Nataka nikuonyeshe kama nyinyi mnachesa mdumange sisi tunasoma na kuzihakiko habari.

Naam hili kwangu jepesi sana. Ulichokiandika kwanza kinaonyesha huijui Qur'aan. Allah Qur'aan amekiota kitabu hata kabla hakijawekwa katika kava mbili (ya mbele na nyuma). Kijana bado unataka kujadili hili na Mimi. Bali vitabu vyote vya Allah vimeitea vitabu hata kabla havijanakiliwa na kuwekwa katika karatasi.

Allah aliye juu katika sura ya pili aya ya pili, anasema "Hicho ni kitabu kisicho kuwana shaka ndani yake". Hapa utatuambia Qur'aan ilikuwa kwenye makaratasi au bado ?
 
Kama imekuwa ngumu kunielewa, nafuta neno kubaka hapo, ila nasisitiza, msimfuate Muddy kuoa vibinti vya miaka 9, watoto hawa tuwaache wasome.
Kijana usikimbie swali, na huwa sitaki utoto katika mambo ya kielimu. Tuweke maana ya kubaka Toka katika Kamusi ya Kiswahili. Hatutaki habari za vijiweni.

Hakuna ambacho hakijaeleweka katika ulichokiandika.

Sasa utuambie wewe kwa akili ya kawaida mtoto wa miaka 9 haoeleki ? Au hazai ? Sasa msivichukie vitu mpaka mkawa wajinga kiasi hiki.
 

Ndio maana Mtoa mada akasema Akili za Baadhi yenu zimeshikwa.

Quran yenyewe inamtambua ISSA, Daudi, Yunus na wengineo kama Mayahudi/Waisrael.
Hao waarabu wenyewe wanawajua hao mayahudi na wanawataja kila Siku misikitini, wewe bado huelewi ni Kwa KIVIPI Myahudi kamtawala Muarabu.
Hapo ndipo mkiambiwa Elimu ni muhimu mnaanza kujilipua.

Unasema Waarabu ndio wababa wa Historia ya Hii Dunia .embu tupe Historia ya misitu ya Amazoni au Hata Olduvai George Kwa mujibu wa Waarabu ili kuthibitisha Masai yako.
Alafu utaje Jambo lolote ambalo wazungu Wakristo hawajalieleza Kihistoria
 
Wewe unaemzungumzia Mohamed hapa sasa lete sheria ya ndoa za karne ya 7

Au mlikuwa mnaropoka tu kama walevi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndio namzungumzia huyo ndugu. Nilete sheria hizo zitasaidia nini, kukuruhusu ukaoe hako kabinti ka miaka 9 ?
Nielewe ndugu, tunaishi kwa sheria za leo. Ndio mana nakushauri usimuige Muddy kuoa kabinti ka miaka 9 tukaache kasome, tusikaharibie future yake.vinginevyo jera utafungwa
 
Quran yenyewe inamtambua ISSA, Daudi, Yunus na wengineo kama Mayahudi/Waisrael.
Kijana onyesha wapi kwenye Qur'aan inawatambua watu hao kama Mayahudi. Kingine usichanganye kati ya Israeli na Uyahudi hivi ni vitu viwili tofauti na vina maana tofauti. Israeli ni nabii Yakubu, na Waisraeli waliitwa hivyo sababu walikuwa Wakipenda kusafiri sana usiku, na kadhalika walitwa Wana wa Israeli.

Huo ni uzao na Uyahudi ni Dini ya watu walio potea na waovu. Sasa onyesha wapi Qur'aan imesema hao ni Mayahudi.
 

Hiyo ni hadithi tuu ambayo hata mlevi anaweza zungumza. Unajua maana ya ushahidi?
Kusema Allah amesema Wakati haukuwepo na humjui huyo Allah hata Kwa Sura au Sauti huwezi ita huo ni ushahidi
Ni MTU mjinga tuu anayeweza let's ushahidi huo Mahakamani.

Yaani Mimi niandikie kitabu alafu nisema Allah amesema alafu Watu muamini Allah alisema😂😂😂

Mkiambiwa mnaakili za kushikiwa ndio muelewe kweli Akili zenu ni ndogo mno.

Hizo dini za wageni zimewafanya muwe wajinga wakubwa
 
Kwani Mohamed yuko leo?
Hivi nyinyi mnaakili kweli
Mtu wa karne ya 7 kabla bibi yako hajajulika duniani umuhukumu kwa hukumu ya karne ya 21

Kweli nyie ndio wapumbavu namba moja duniani

Kama ulikuwa hujui isaka wa kwenye bibilia kaoa mtoto wa miaka 3

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hao waarabu wenyewe wanawajua hao mayahudi na wanawataja kila Siku misikitini, wewe bado huelewi ni Kwa KIVIPI Myahudi kamtawala Muarabu.
Hapo ndipo mkiambiwa Elimu ni muhimu mnaanza kujilipua.
Nasubiri uthibitishe ya kuwa hao walikiwa Mayahudi, ukisoma Historian haijulikani Uyahudi ukianza lini, ila mpaka wakati wa Musa, Uyahudi haukuwepo.
 
Nasubiri uthibitishe ya kuwa hao walikiwa Mayahudi, ukisoma Historian haijulikani Uyahudi ukianza lini, ila mpaka wakati wa Musa, Uyahudi haukuwepo.

Historia ipi inayoeleza Waarabu walianza lini na wapi?
Embu tupe andiko au kitabu chochote ambacho hakina makisio, yaani kinachosema Waarabu walianza Mwaka Fulani au walianzia Kwa MTU Fulani.

Kuhusu Wayahudi Historia Yao imeanzia Kwa Waisrael.
 
Ndugu, hakuna haja ya kulumbana na kamusi kuhusu 'kubaka'; Hiyo maana unaweza iweka hapo kwa faida yako; kazi yangu na sitochoka! nakuelimisha ili sote ujinga ututoke.
Narudia kusema, tunaishi kwa sheria za sasa. Usimwige Muddy kuoa kabinti ka miaka 9, watoto tuwaache wasome; ukipingana na hili jeta itakuhusu yaani utaishia shimo la chewa.
 
Unasema Waarabu ndio wababa wa Historia ya Hii Dunia .embu tupe Historia ya misitu ya Amazoni au Hata Olduvai George Kwa mujibu wa Waarabu ili kuthibitisha Masai yako.
Alafu utaje Jambo lolote ambalo wazungu Wakristo hawajalieleza Kihistoria
Unachokiandika na nilichokiandika ni vitu viwili tofauti, ndiyo maana nikikuuliza huko nyuma waambie Wazungu au Wayahudi wakupe au wakutajie mababu zao Saba, kama wataweza. Jibu hawawezi ila kwa Waarabu hili jepesi wamedhibiti Historia zao na vizazi vyao. Hili mosi.

Kadhalika kuhusu Historia ya Dunia mwanzo mpaka mwisho, tafuta kitabu Cha Imamu Ibn Kathir kinachoitwa kwa "Al Bidayat wa an-Nihayah (Mwanzo na Mwisho), mwalimu wetu ambaye amekisoma alisema kwenye kitabu kile umetajwa au kuashiriwa mpaka mlima wa Kilimanjaro. Na ukifatilia habari za miji mingine utaikuta, ila mpaka nihakiki kujua majina ya zamani kwa kuyalinganisha na ya Sasa, ili kujua kipi kimekusudiwa.

Tatu, tafuta kitabu kiitwacho "Mu'ujam Al Buldan" Cha Yaquut Al Hamawi huyu makusanya historia ya miji yote na kwanini iliitwa hivyo na maeneo yake ila angalizo ni kuwa yeye ameielezea kwa majina ya zamani. Muandishi wa kitabu hiki amefariki mwaka 1205, Sasa wewe kama yupo Mkristo wa miaka hiyo ameandika Historian ya Dunia, nitajie lake na jina la kitabu chake.
 

Ndio maana Mtoa mada akakuambia mmeshikiwa AKILI.

Huwezi utenganisha uyahudi na uisrael.
Uyahudi ni Dini lakini pia ni utaifa.

Kwa mujibu wa Historia ya Waarabu kwenye vita ya pili ya dunia, Adolf Hitler alikuwa anaua Wayahudi au Waisrael? Nipe na reference.

MTU kama Albert Einstein ni Myahudi au muisrael? Uje na reference ya Historia ya kiarabu unayoitumia.

Kwa mujibu wa Historia ya Waarabu embu tueleze Zionism movement ni kitu gani?
Ili ujione ulivyokichwa Maji
 
Hayo ni maneno yako;
Maneno yangu ni haya, 'usimuige Muddy kuoa kabinti miaka 9, ni kosa kisheria, watoto tuwaache wasome'
 
Ulitakiwa ujue maana ya kubaka kabla hujatumia Tamko kubaka. Acheni utoto na ujinga ndiyo maana Kuna muda huwa naona ni ujinga kujadiliana na Wakristo yaani mnakuwa kama Masponji mnanyonya kila kimiminika.

Nasubiri uonyeshe kosa au ubaya wa kuoa mtoto wa miaka 9.
 

Sasa MTU wa 1205 Wakati Ukristo unamiaka zaidi ya buku na history ya dunia imeshaandikwa Kwa sehemu kubwa ndio useme kuwa hakukuwa na mkristo aliyeandika Historia😂😂😂

Dini za kuletewa zinawasumbua Sana Vijana.
 
Umesemaje tena?🤣
 

Attachments

  • FB_IMG_16762295941151007.jpg
    40.1 KB · Views: 2
Hayo ni maneno yako;
Maneno yangu ni haya, 'usimuige Muddy kuoa kabinti miaka 9, ni kosa kisheria, watoto tuwaache wasome'
Hayo maneno yako yana muhusu vipi Mohamed ?

Mlianza kumwambia Mohamed maneno kibao naona sasa mnageuza kibao pumbavu nyinyi.
Siku nyingine kabla hamjazungumza msiropoke

Alafu mwambie na isaka nae atafungwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…