Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Kwa Mwamposa mbona Waislam pia walikufa. Wakristo wa Papa ni wale waliokengeuka nae. Mimi mkristo mfuasi wa Yesu sio akina Papa wala hao manabii uchwara, sio wote, wapo wa kweli.Mkuu naomba unieleweshe kidogo sijakuelewa,, hivi wakristo hao unaowasifia wameelimika ndio hawa waliombiwa na papa mwanaume kufihlwah sio dhambi au unawazungumzia hawa waliokufa kwa kukanyagana kisa kugombea mafuta kwa mwamposa,,?π€
Kilichotokea kwa Mwamposa ni ajali ambayo wamerekebisha isijirudie.
Ni kama huko nyuma Nguruwe walitoka zizini kwa jamaa wakaingia msikitini, hilo timbwili lake mlango wa kutokea mmoja, ni ajali.
Kwa ujumla wapo waislam na wskristo walioelimika. Wote viumbe wa Mungu.