Kuna wimbi kubwa la vijana wa Kiislamu kushikiwa akili au mawazo bila kujitambua kuwa wanapotoshwa

Hakuna comment kuruka mpaka sasa hata kujaribu kutuonesha kua ukristo ni Dini umeshindwa

Hapo juu maelezo na umeshapewa na umesema ni gazeti haya tunasubiri gazeti lako sasa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna comment kuruka mpaka sasa hata kujaribu kutuonesha kua ukristo ni Dini umeshindwa

Hapo juu maelezo na umeshapewa na umesema ni gazeti haya tunasubiri gazeti lako sasa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unapokwepa swali mimi ndio nazidi kukukomalia. Kama unajiamini JIBU SWALI.

Nakuuliza tena. Kwa mujibu wa mwenzako aliyesema Ukristo ni Dini ya mchongo, Tushike Lipi? UKRISTO NI DINI AU SIO DINI?
 
Unapokwepa swali mimi ndio nazidi kukukomalia. Kama unajiamini JIBU SWALI.

Nakuuliza tena. Kwa mujibu wa mwenzako aliyesema Ukristo ni Dini ya mchongo, Tushike Lipi? UKRISTO NI DINI AU SIO DINI?
Ona unavyo changanyikiwa ushajibiwa kitambo comment ulio iqoute inataka ututhibishie kama ukristo ni Dini

Kama huwezi watafute na wenzio wakusaidie

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ushahidi upo wapi?
 
Nawasihi ndugu zetu warudi tunuabudu Mungu mmoja basi na kumshirikisha na chochote ili tupate salama jaman ,huko mbele hata Yesu mwenyewe atawakana watu wanaomfanya yy Mungu badala ya Mungu aliyemuumba yy na sisi sote
Allah anasema nami nanukuu
"وَإِذْ قَالَ اللَّهُ يَا عِيسَى ابْنَ مَرْيَمَ أَأَنتَ قُلْتَ لِلنَّاسِ اتَّخِذُونِي وَأُمِّيَ إِلَـٰهَيْنِ مِن دُونِ اللَّهِ ۖ قَالَ سُبْحَانَكَ مَا يَكُونُ لِي أَنْ أَقُولَ مَا لَيْسَ لِي بِحَقٍّ ۚ إِن كُنتُ قُلْتُهُ فَقَدْ عَلِمْتَهُ ۚ تَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِي وَلَا أَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِكَ ۚ إِنَّكَ أَنتَ عَلَّامُ الْغُيُوبِ

[ AL - MAIDA - 116 ]
Na pale Mwenyezi Mungu atakapo sema: Ewe Isa bin Maryamu(Yesu)! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu badala ya Mwenyezi Mungu? (Na Isa)(Yesu) atasema: Subhanaka, Wewe umetakasika! Hainifalii mimi kusema ambayo si haki yangu. Ikiwa nilisema basi bila ya shaka umekwisha yajua. Wewe unayajua yaliyo ndani ya nafsi yangu, lakini mimi siyajui yaliyo katika nafsi yako. Hakika Wewe ndiye Mjuzi mkubwa wa yaliyo fichikana.."

Karibu tumuabudu Mungu mmoja tu pasi na kumshirikisha na chochote kile
 
Hayo ni maoni yako kila mtu ana imani na kiongozi wake, kama wewe ulikua na hoja kwa nini usimuulize sheik maana alikua mbele yako? Acha kuleta mifarakano ya dini, kila muumini aamini anacho kiamini kufuatana na mafundisho ya dini yake
 
Sasa ulitegemea kiongozi wa dini ambaye hata hakumaliza vizuri darasa la nne au la saba atakuwa na uwezo wa kuelewa matukio ya duniani na kuweza kuyachambua zaidi ya kukaa vijiweni kwenye kahawa na kudanganyana kisha kwenda kihutubia pumba zake masjid siku ya ijumaa.

Kimsingi hawa wafundishaji wa namna hii ni wa kuwapuuza maana wengi wao hawajui hata wanasimamia nini.
 
Yaan yy pesa awekewe kwa M pesa na mumber katoa zinapita kwenye screen lakin manyumbu wao waombe tu kwa iman..😀😁😁🤣...
 
Hakuna kitu kizuri km uwelewa hawa wenzetu wa upande wa pili wamekosa uelewa kabisa kabisa wanaamini kabisa yesu alizaliwa na alikua na kukua na watu wa wakati huo walimuona na kukua nae lakini hapo hapo wanaamini kua yesu ni mungu hapo hapo Tena wanaamini mungu ni mmoja hakuzaa wala hakuzaliwa yaani wanatushangaza Sana watu hawa
 
Ndio maana waisraeli walivyo waona tu kua ni mapopoma wakawaachia akili zao


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Uende na nani taratibu wakati umeshindwa kuthibitisha kama ukristo ni Dini

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Waislam wengi humu JamiiForums nikiwafikishaga hapa kwenye kuwauliza waniambie Dini nini, huwa wanakula kona...Huwa wanaliogopa hili swali.

Wewe kama una ubavu, JIBU HILO SWALI.

DINI NI NINI? Iweke hapa Difinition/Tafsiri ya Dini.

Nipo hapa Nakusubiri.
 
Ndugu zangu wasio waislam nawakumbusha uislam sio kufuata anachosema shekh au anachofanya mtu mwenye jina la kiislam, uislam ni kufuata yaliyomo kwenye qoran na hadith, na haya huwezi kuyajua kama yalivyokusudiwa ni mpaka usome.

Ni kweli hata sisi tuliomo ndani ya uislam kuna utata hua tunaouona kwa baadhi ya watu kutokua na upeo wa kutafsiri kilichokusudiwa ndani ya qoran.

Kuna nchi za kiislam zenye wasomi wazuri tu madaktari bingwa, wahandisi, na maprofesa, lakini zipo nchi hasa hizi za kwetu huku Afrika ya mashariki maeneo yanayokaliwa na waislam kiwango cha elimu kipo duni sana, kwa asiye muislam anaweza kuamini uislam umekataza elimu ya shuleni.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ubavu ndio nini wakati mpaka sasa umeshindwa kuthibitisha kama ukristo ni dini
Waite na wenzio wakusaidie

Thibitisha kama ukristo ni dini kwa mujibu wa yesu hapa umalize utata acha kuruka ruka


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…