Self righteousness is not rightShida nnayoioana hapa ni katazo la ushoga kutoka kwa viaongozi wa kiislam,mleta uzi acha kabisa tabia ya kutoa 0,hakuna dini iliyokamilika zaid ya uislam.
Nilijua tu lazima ule kona.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ubavu ndio nini wakati mpaka sasa umeshindwa kuthibitisha kama ukristo ni dini
Waite na wenzio wakusaidie
Thibitisha kama ukristo ni dini kwa mujibu wa yesu hapa umalize utata acha kuruka ruka
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Chief huwa Una mikwala Sana kana kwamba Una hoja za msingi.Nilijua tu lazima ule kona.
Hakuna mwislam aliyewahi kunijibu hilo swali. Hata huyo aliyekupa Like hatakatiza hapa kulijibu.
Unaogopa kulijibu hili swali kwasababu Ukilijibu tu, Utakuwa umethibitisha mwenyewe kuwa Ukristo ni Dini. Na hicho ndicho unachokikwepa.
tuliza mshono, hao ni malimbukeni wa imani, hata ukristo hauwatambuiHao wana9tajitisha Wachungaji ni Waislam, Wanaomwita Zumaridi mfalme, ni Waislamu, Waliochomwa moto na kibwetele kwa tumaini la kuona ufalme wa mbingu ni waislamu, unachekesha wewe haya yaliondikwa hapa, hakuna mkristo atakae mtoa mfano tukio lolote huko Urusi juu ya Waislamu.
Huu uzi unaonyesha ni namna gani Wakristo hawana akili. Ukitaka kujua maana ya ujinga waangalie Wakristo na Ukristo.Waislam wengi humu JamiiForums nikiwafikishaga hapa kwenye kuwauliza waniambie Dini nini, huwa wanakula kona...Huwa wanaliogopa hili swali.
Wewe kama una ubavu, JIBU HILO SWALI.
DINI NI NINI? Iweke hapa Difinition/Tafsiri ya Dini.
Nipo hapa Nakusubiri.
hay hawana tofauti na vijana wa kiislam wanaolishwa mafundisho feki bila kuyapembuaAkina Jim Jones na David Koresh na wenzao kumbe walikuwa Waislam! Tena hao ni kutokea huko kwa mnaowaona wana akili kuliko watu wote. Sijui "mazombie" wa huku wafuasi wa Kibwetere, Shilla, Tito na wengineo watakuwa katika hali gani.
Kifupi umeshindwa kuthibitisha kua ukristo ni Dini tena hakuna mkiristo atakae weza thibitishaNilijua tu lazima ule kona.
Hakuna mwislam aliyewahi kunijibu hilo swali. Hata huyo aliyekupa Like hatakatiza hapa kulijibu.
Unaogopa kulijibu hili swali kwasababu Ukilijibu tu, Utakuwa umethibitisha mwenyewe kuwa Ukristo ni Dini. Na hicho ndicho unachokikwepa.
Huwa nawaskitikiaga watu wanavyolilia vitu walivyovikuta , Elimikeni na mkubali kubadilika. Dini imeletwa na binadam kama nyie ili kuwatawala na kuwatia hofu, wakoloni walifanikiwa kuwashika pabaya mkashikika. Ukristu asili yake n wapi ? Uislam asili yake ni wapi? Hao waliowaletea hizo dini wamewaacha mnazozana hao hawana mda nazo....kila mtu anajiona Yeye ndo yuko upande sahihi ...siku mtakayokuja kuujua ukwel mtakua mmechelewa sanaNawasihi ndugu zetu warudi tunuabudu Mungu mmoja basi na kumshirikisha na chochote ili tupate salama jaman ,huko mbele hata Yesu mwenyewe atawakana watu wanaomfanya yy Mungu badala ya Mungu aliyemuumba yy na sisi sote
Allah anasema nami nanukuu
"وَإِذْ قَالَ اللَّهُ يَا عِيسَى ابْنَ مَرْيَمَ أَأَنتَ قُلْتَ لِلنَّاسِ اتَّخِذُونِي وَأُمِّيَ إِلَـٰهَيْنِ مِن دُونِ اللَّهِ ۖ قَالَ سُبْحَانَكَ مَا يَكُونُ لِي أَنْ أَقُولَ مَا لَيْسَ لِي بِحَقٍّ ۚ إِن كُنتُ قُلْتُهُ فَقَدْ عَلِمْتَهُ ۚ تَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِي وَلَا أَعْلَمُ مَا فِي نَفْسِكَ ۚ إِنَّكَ أَنتَ عَلَّامُ الْغُيُوبِ
[ AL - MAIDA - 116 ]
Na pale Mwenyezi Mungu atakapo sema: Ewe Isa bin Maryamu(Yesu)! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu badala ya Mwenyezi Mungu? (Na Isa)(Yesu) atasema: Subhanaka, Wewe umetakasika! Hainifalii mimi kusema ambayo si haki yangu. Ikiwa nilisema basi bila ya shaka umekwisha yajua. Wewe unayajua yaliyo ndani ya nafsi yangu, lakini mimi siyajui yaliyo katika nafsi yako. Hakika Wewe ndiye Mjuzi mkubwa wa yaliyo fichikana.."
Karibu tumuabudu Mungu mmoja tu pasi na kumshirikisha na chochote kile
Mimi nimeuliza TAFSIRI YA NENO dini/religion, wewe unaniletea kifungu cha Quran!!!!!Chief huwa Una mikwala Sana kana kwamba Una hoja za msingi.
Qur'an inajieleza kuwa Dini mbele ya Allah ni Uislamu.
19. Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu. 19
Almaida :19
Sasa tunaomba na wewe Biblia ijieleze kuwa Ukristo ni Dini.
Tunakusubiri tafadhali
mauaji ya kimbali ya rwanda ni kweli yalikuwa ya ukabila lakini ukabila huo ulichochewa na viongozi wa makanisa mfano watu walipo kuwa wakikimbila kanisani walikuwa wakichinjwa mfanoKujitambua kuwa wewe ni nani na kuwa mdadisi ni kitu kizuri ila ukishaunganishwa imani tu basi ndo akili inapotea.
Nazungumzia ndugu zetu wenye imani ya kiislamu kwa vijana wenzangu. Maisha tunayotafuta na makazi tunaishi na watu tofauti ila bahati nzuri asilimia kubwa maeneo niliyopo na kazi asilimia kubwa wenye imani ya Kiislamu.
Kiukweli kilichonishangaza siku moja mpaka naeleza hivi kuona mtu mwenye cheo cha sheik akiwaambia vijana kama kupotosha kuhusu mgogoro na vita inayoendelea huko Urusi na Ukraine. Ni kwamba Urusi inaipiga Ukraine sababu anatetea Uislamu, lengine kuhusu vita vya Kagera mpaka kuna CD zimejaza hayo hayo.
Kitu chengine sitasahau sheik mmoja anaeleza kuhusu Rwanda mauaji ya kimbali ni dini wakati ukabila na siasa.
Kuna mengi ambayo vijana wanadanganywa kwa kupandikizwa kitu bila kujua.
Nilijua Tu utatafuta pa kutokea,anyways nachukulia kwamba huna majibu.Mimi nimeuliza TAFSIRI YA NENO dini/religion, wewe unaniletea kifungu cha Quran!!!!!
Quran ndio Kamusi/dictionary?
Quran wakati inaandikwa ilikuta Lugha zipo miaka na miaka, mimi nataka mniambie, kwa mujibu wa Lugha, Neno DINI lina maana gani?
Neno DINI/RELIGION ni nini? Tukitumia kiingereza kwa mfano, WHAT IS RELIGION?
Hilo ndilo swali langu
Nakunukuu:Huu uzi unaonyesha ni namna gani Wakristo hawana akili. Ukitaka kujua maana ya ujinga waangalie Wakristo na Ukristo.
Kwanini unaandika uongo ? Hakuna watu wenye kujua maana ya Dini kuwazidi Waislamu.
Sikutaka kuchangia huu Uzi, ila kwa hiki ulichokiandika nikaamua kuchangia.
Maana ya DINI, Dini ni Tamko lenye asili ya Kiarabu lenye maana ya njia, au mfumo wa maisha ya mtu kuanzia anapo amka mpaka analala, lakini imekuja maana ya Dini kwa maana ya siku ya Malipo yaani Kiyama.
Kwa maana ya njia inayomfikisha katika lengo fulani au sehemu fulani. Hii ndiyo maana ya Dini. Ndiyo maana Allah akasema hakika Dini mbele yake ni UISLAMU.
Swali lingine wapi Waislamu umewauliza swali hili wakakimbia ?
Wewe kaa pembeni kwanza.Kifupi umeshindwa kuthibitisha kua ukristo ni Dini tena hakuna mkiristo atakae weza thibitisha
Sasa kuanzia leo kabla hujajenga hoja kuhusu ukristo na uislamu hakikisha kwanza una uthibitisho wa Dini yako na nitaendelea kuwaita mapopoma na wapumbavu mpaka siku mkithibitha kua ukristo ni Dini ya yesu!!!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kijana Hilo kadhalika ulilopewa ni jibu tena ni jibu sahihi mno. Muwe mnasoma Wakristo, hata hujui maana za matamko hupatikana vipi, Kuna namna nne za kutoa maana ya kitu, na hiyo uliyo pewa ni maana kadhalika, kwa maana ya kuainishiwa dini Fulani.Mimi nimeuliza TAFSIRI YA NENO dini/religion, wewe unaniletea kifungu cha Quran!!!!!
Quran ndio Kamusi/dictionary?
Quran wakati inaandikwa ilikuta Lugha zipo miaka na miaka, mimi nataka mniambie, kwa mujibu wa Lugha, Neno DINI lina maana gani?
Neno DINI/RELIGION ni nini? Tukitumia kiingereza kwa mfano, WHAT IS RELIGION?
Hilo ndilo swali langu
Chizi kweli weweNakunukuu:
"Maana ya DINI, Dini ni Tamko lenye asili ya Kiarabu lenye maana ya njia, au mfumo wa maisha ya mtu kuanzia anapo amka mpaka analala, lakini imekuja maana ya Dini kwa maana ya siku ya Malipo yaani Kiyama."
[emoji115]
Mimi nimeuliza TAFSIRI ya NENO Dini/Religion, wewe unaniletea tafsiri za msikitini. Hiyo tafsiri yako ipo kwenye kamusi gani?
Neno linatafsiriwa kutoka kwenye Kamusi/dictionary.. huko ndiko tunakopata maana ya maneno.
Ninahitaji TAFSIRI YA KAMUSI/DICTIONARY itueleze Dini ni kitu gani.
Naomba nijibiwe swalj langu.
- DINI NI NINI?
- WHAT IS RELIGION?
- CAN ANYONE DEFINE WHAT A RELIGION IS???
Hapa lazima upopolewe mpaka uthibshe ukristo ni diniWewe kaa pembeni kwanza.
Wenzako wawili wameshakuja kujaribu kujibu swali langu, Ninawasubiri wanijibu ili niwaone kama na wao wataweza kuja na majibu au watapiga dandana kama wewe.
Kwenye lugha kuna kitu kinaitwa Etimolojia, huwa panaangaliwa mzizi na chimbuko la neno husika. Huwezi kufasiri Tamko ukapatia pasi na kujua asili ya tamko hilo, nimekurudisha katika asili ya tamko husika na maana ya dini nimekupata.Nakunukuu:
"Maana ya DINI, Dini ni Tamko lenye asili ya Kiarabu lenye maana ya njia, au mfumo wa maisha ya mtu kuanzia anapo amka mpaka analala, lakini imekuja maana ya Dini kwa maana ya siku ya Malipo yaani Kiyama."
[emoji115]
Mimi nimeuliza TAFSIRI ya NENO Dini/Religion, wewe unaniletea tafsiri za msikitini. Hiyo tafsiri yako ipo kwenye kamusi gani?
Neno linatafsiriwa kutoka kwenye Kamusi/dictionary.. huko ndiko tunakopata maana ya maneno.
Ninahitaji TAFSIRI YA KAMUSI/DICTIONARY itueleze Dini ni kitu gani.
Naomba nijibiwe swalj langu.
- DINI NI NINI?
- WHAT IS RELIGION?
- CAN ANYONE DEFINE WHAT A RELIGION IS???
Kijana usijitoe ufahamu, hiyo maana uliyo pewa ya Dini, ndiyo maana yake. Sasa endelea kujitoa ufahamu uone kama hutakimbia huu uzi kwa hoja.Wewe kaa pembeni kwanza.
Wenzako wawili wameshakuja kujaribu kujibu swali langu, Ninawasubiri wanijibu ili niwaone kama na wao wataweza kuja na majibu au watapiga dandana kama wewe.