Kuna wimbi la biashara ya ukahaba kwenye vyuo vikuu kupitia Instagram

Wanafanya kwa siri ila ndio kama hivyo.
Kuna wimbi la Wasichana wakimaliza vyuo hawarudi makwao na hawana boom na maisha yanaenda.
Wanajifanya kuishi kwa maisha ya kuuza Online vitu vidogo vidogo
Hiyo mbinu ya kuuza vitu online naijua vizuri sana. Sio kwamba hawarudi home wakimaliza masomo, hata wakifunga hawarudi wanakomaa ghetto
 
Andika kitabu kabisa ili wanafunzi wajifinze
 
Inawezakana ikawa kweli kuna demu mmoja alikuwa kamaliza udom nilikutana nae kwenye harakati za maisha ikawa tunaishi pamoja kuna siku nikashika simu yake nikakuta kamtumia mtu picha za ajabu ajabu tu akanikuta ndo naangalia alikosa amani toka siku hyo simu ina x kibao kamaliza ila kwao anawadanganya ili aendelee kukaa dodoma.
 
Ni wa Arumeru?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…