Kuna wimbi la biashara ya ukahaba kwenye vyuo vikuu kupitia Instagram

Kuna dada dom alikuwa anajiuza na kujifanya mwanachuo wa St. John na hostel anakaa kwa mashoga zake wanachuo
 
Wengi wao wanajisomesha aseeeeeeee ,,,, anaweza ingiza hata laki 5 kwa miezi miwili sasa pigia kwa wiki anatoa A.M.U.K , mara 3 /4 kwa 60k, pigia hapo hata millioni afuuuuuu dah mchana yaaani wako social sanaaaaa ila kwenye madesa wanagongea watabe wawafundishe then wana wapa KISELA Sometimes bila hata mia. ,,, Hahahaha nimeshuuuudiaa hiii hatareeeeeeee T.I.A DSM , IFM DSM hatareeeeeeeeeeeee
 
Dunia ikigeuka ghafla paap! na kurudi 90's hakyanani vijana wa sasa wataishia kujichua maana kwa style hizi vijana hawajui kutongoza.

Anyway tunafurahia pia haka kamserereko 🀣
 
Wa mikoani ndhani wanatumia instagram ila biashara ya mghost kwa dar ipo telegram sana sana.
 
Mwanaume mzima mbea. Kweli wanaume ndo wanaongoza kwa umbea. Sasa wewe hayo mambo ya wao kujiuza yanakuhusu nini? Au hutaki wenzio wajipigie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…