Kuna wimbi la biashara ya ukahaba kwenye vyuo vikuu kupitia Instagram

Wanaitwa "WADADA WA CHUO" ili usiwachukulie poa utokwe hela vizuri... japo sipingi kwamba vyuoni kuna hayo mambo!
 
Sure wadangaji chuo wapo sana tu, sio mmoja au wawili! Ni wengi mnooo!
 
Naponeaga pale Riverside

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kabisa mkuu, kuna kiumbe anaenda kupigwa za uso. Yaani ni tangazo lililojificha, sasa ngoja watu waingie mkenge wa kutaka 50 kimserereko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na amesema kasoro Lindi kwa kuwa kule n watu chache wanaenda, anajua kila wilaya Kuna wanaume wanapenda utelezi hivo wata m-PM tu mleta mada

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kwaiyo hujataka kabisa kusema kama alikutunuku utelezi baada ya kumuingiza ndani[emoji23][emoji23]
Biashara zipo sana skuizii kama...una ndugu wa kike chuo mchunguze mnaweza kukutana room.
Ni hatari sana, sasa hivi wamehamia mtandao wa X na Telegram.

Hii biashara inatembea.
 
Huyo mmeru ni mwembamba mweupe!
 
Huyo mmeru ni mwembamba mweupe!
Hapana ni pisi kali kidogo sio mwembamba!
Ngoja nikuonyeshe picha yake. Jina lake linaanza G. ukoo wake unaanza na K.

una coincidence yoyote?
 
Hapana ni pisi kali kidogo sio mwembamba!
Ngoja nikuonyeshe picha yake. Jina lake linaanza G. ukoo wake unaanza na K.

una coincidence yoyote?
Huyo ni mwingine.

Mimi nilikuwa mtumiaji wa magrupu ya Instagram ya hao watu kwenye mikoa ya Dar na Dodoma, wee acha tu, nilikuja kukutana na mtoto wa kaka wa Rafiki yangu baada ya hapo nikaachana nayo.

Kumbe anajiuza, ni hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…