Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 797
- 2,314
Hatari sanaVina post kila ya dakika
wanajifanya wapya ila jinsi anavyojibu comment ni kama anakujua vizuri humu ndani๐๐
Natumaini hata wewe umevijua๐๐ฅHatari sana
Ulianzisha JF?Vina post kila ya dakika
wanajifanya wapya ila jinsi anavyojibu comment ni kama anakujua vizuri humu ndani๐๐
Kwanini mkuu!Inasikitisha sana
Vina post kila ya dakika
wanajifanya wapya ila jinsi anavyojibu comment ni kama anakujua vizuri humu ndani
Sijui mana sijasoma madaKwanini mkuu!
Tulishawazoea kuna muda kukiwa na tukio fulani ambalo linaonekana si rafiki kwa maslahi fulani lazima waibuke.Natumaini hata wewe umevijua๐๐ฅ
Unapata wapi muda wa kuchunguza akaunti zote hizo kama sio kukosa kazi huku ? ๐๏ธ ๐๏ธVina post kila ya dakika
wanajifanya wapya ila jinsi anavyojibu comment ni kama anakujua vizuri humu ndani๐๐
Punguza nyeto mkuu!Sijui mana sijasoma mada
Ww punguza uwendawazimuPunguza nyeto mkuu!
Nitaacha kabisa!Ww punguza uwendawazimu
Rudi kwenye akaunti yako ya zamani ๐๐ akaunti nyingi hadi tunakuhisi weww ni adriz de mbusiiPunguza nyeto mkuu!
Hupendi wageni?Watu wapya wanaongezeka