Kuna wimbo wa BARAKA DE PRINCE ameimba bila kutumia neno "MOYO"?

Iyegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
6,276
Reaction score
12,404
Karibu nyimbo zote za huyu kijana nilizozisikia ametumia neno MOYO kwenye mistari yake.
Kuna wimbo ambao hajatumia hili neno kweli??
 
Kwanza nyimbo zake zile zile beat ile ile imba yake ile ile sijui hana washauri??
 
Kijana ndo anatoweka taratibu kwenye masikio ya watz, asipostuka mapema tutamsikia ashakuwa teja. Alikuwa anaimba vizuri lakini na moyo wake
 
Tatizo lake ni ulimbukeni basi hilo tu.
Nakumbuka clouds kuna kipindi walikuwa wanamtabiria eti ni mond atakayefuata.
 
Shida yake ilikua ni kupata gar nyumba ya kupanga dar dem mzur hela ya mafuta na kulipia kodi basi kawaida kwa wasanii wa mwanza wote we wafatilie tu utagundua fid q peke yake koz anaimba ngumu na mkewe anampush
 
Hivi young killer hajajenga?
 
Hivi young killer hajajenga?
Labda mwanza sio dar na mwanza usikute amefanya repair kwenye nyumba yao kuonekana sana kwenye kideo bila hesabu dogo namuona nae fulsa inampita kamshindwa dogo janja anasubir mpk afeli ndo atoe nyimbo cjui anataka kua teja nilimkubali sana young ameniangusha ameanza kunata yani kwel mbongo usimpende utamuaribu
 
!
!
Huyu nae kaishiwa tu Hana lolote na muda si mrefu atarudi kwao Mwanza. Hiyo sijui BANA music imebuma akae tu na Najma wacheze kidali
 
Haha handsome asiyekuwa na matunzo mc h atari anayeogopwa na mabaunsa wenu dogo kama hajajenga kazingua hajui mziki wa bongo upepo to usipojipanga kutoka 100 to 0 kawaida tatizo hawataki kujifunza kwa akina afande sele na wengine
 
Alivimba kichwa mapema, na ndio kilichomponza, mjini atapaona pachungu muda si mwingi.

Ulimbukeni sio mzuri.
 
Haha handsome asiyekuwa na matunzo mc h atari anayeogopwa na mabaunsa wenu dogo kama hajajenga kazingua hajui mziki wa bongo upepo to usipojipanga kutoka 100 to 0 kawaida tatizo hawataki kujifunza kwa akina afande sele na wengine
Ndo mana nasema mwanza kwa watani zangu sijui kunatatizo gani toka enzi za wakoloni tumewasaidia sana tumeoa sna dada zao lkn wapi msanii akizingua kwenye game we uliza katokea wp dogo mkali sana ney alimuimba nae akajibu neema wa mitego alimchana vbaya ila bado anaugonjwa wa mwanza fever
 
Wapi SAJNA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…