kunafida kuwa independent debt collector?

frozen

Senior Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
135
Reaction score
32
Wadau wana jf, natumai wote ni wazima! Tafadhari ningependa kufahamu hapa dar kama kuna watu ambao ni independent bebt collector wa makampuni flani ambayo yana madeni mengi kwa wateja wao, na hao ma debt collector wanalipwa kwa percentage flani ambayo wamekubaliana baada ya kukusanya deni. Plz mwenye information yoyote kuhusu hii kazi na kama inamaslahi tujuzane! yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…