Sina haja ya kubwabwaja sana, matendo na vitendo vinavyotendwa katika hujma mbalimbali humu Tanzania ni vya kusikitisha na kuhuzunisha sana.
Mauaji ya ovyo ovyo, watu kukatwa mapanga mchana kweupe usiku ndio usiseme, na yote hayo hufanywa na watu wa rika mbali mbali na wakati mwengine au niseme, hali hiyo haihusiani kabisa na uchumi wa nchi.
Hakuna tena kuogopa polisi wala sungusungu wala kifungo wala kufungwa, tupo katika hali ya liwalo na liwe.
Kuzoeleka kwa matendo hayo kunazidi siku hadi siku, ile kwenda jela na kazi ngumu haipo tena.
Anaetoka jela huwa anarudi na nguvu mpya na hata woga umeshamtoka ubaya ubaya unazidi mara mbili.
Nini lifanyike ili kukabiliana na hali hii?
Wezi wakatwe mikono au wanaotumia silaha badala ya kufungwa iwe ni adhabu ya kifo moja kwa moja na wachomwe moto huko huko jela.
Inapothibitika kwa ushahidi usio na shaka basi sheria kali zifuate mkondo wake, tuache kupapasana kwa kupelekana jela kama kupelekwa kutembea na mtu akitoka kanenepa.
Anayekwenda jela kwa ukatili iwe kutoka kwake jela ni majaaliwa na huko jela asifugwe kama simba wa maonyesho, apotezwe, na ijulikane wazi ukiingizwa jela kwa kutumia silaha kukaba basi ujue, serikali haitakupeleka jela kukupa chakula cha bure, kwani wewe hufai kuishi ni mtu hatarishi kwa jamii, tunakufugia nini, funga jiwe zamisha baharini samaki watafaidi.