Kunambi: Rushwa huanzia kwa viongozi wa juu tusiwahukumu watumishi wa ngazi za chini

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mbunge wa Jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, ametoa rai ya kulenga uwajibikaji kwa viongozi wa juu kama njia ya kudhibiti tatizo la rushwa katika taasisi za umma.

Akizungumza bungeni jijini Dodoma, Oktoba 29, 2024, Kunambi ameeleza kuwa utamaduni wa utawala hujengwa na viongozi wa juu wa taasisi, na hivyo tatizo la rushwa huanzia kwa viongozi hao badala ya watumishi wa ngazi za chini.

“Kuna kitu kinachoitwa utamaduni wa utawala. Kitu hiki kinajengwa na kiongozi wa taasisi,” amesema Kunambi, akiongeza kuwa kushughulikia wafanyakazi wa ngazi ya chini pekee bila kuwawajibisha wakuu wa taasisi hakutakuwa na athari kubwa katika kudhibiti rushwa.

Amesisitiza kwamba, badala ya hatua kuchukuliwa dhidi ya watumishi wa kawaida, sheria na uwajibikaji vikielekezwa kwa wakurugenzi na viongozi wa juu itaweza kusaidia kuondoa mazingira yanayoruhusu rushwa.

Soma Pia: Rais Samia, hii kauli inazidisha ukakasi kwenye eneo la urefu wa kamba...

Akiendelea, Kunambi amehimiza viongozi wa juu kubeba jukumu la kujenga na kudumisha maadili bora ya utawala ili kupunguza changamoto za rushwa zinazoathiri taifa.
 
Mbung

Akiendelea, Kunambi amehimiza viongozi wa juu kubeba jukumu la kujenga na kudumisha maadili bora ya utawala ili kupunguza changamoto za rushwa zinazoathiri t
Mbunge wa Jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, ametoa rai ya kulenga uwajibikaji kwa viongozi wa juu kama njia ya kudhibiti tatizo la rushwa katika taasisi za umma.

Akizungumza bungeni jijini Dodoma, Oktoba 29, 2024, Kunambi ameeleza kuwa utamaduni wa utawala hujengwa na viongozi wa juu wa taasisi, na hivyo tatizo la rushwa huanzia kwa viongozi hao badala ya watumishi wa ngazi za chini.

“Kuna kitu kinachoitwa utamaduni wa utawala. Kitu hiki kinajengwa na kiongozi wa taasisi,” amesema Kunambi, akiongeza kuwa kushughulikia wafanyakazi wa ngazi ya chini pekee bila kuwawajibisha wakuu wa taasisi hakutakuwa na athari kubwa katika kudhibiti rushwa.

Amesisitiza kwamba, badala ya hatua kuchukuliwa dhidi ya watumishi wa kawaida, sheria na uwajibikaji vikielekezwa kwa wakurugenzi na viongozi wa juu itaweza kusaidia kuondoa mazingira yanayoruhusu rushwa.

Soma Pia: Rais Samia, hii kauli inazidisha ukakasi kwenye eneo la urefu wa kamba...

Akiendelea, Kunambi amehimiza viongozi wa juu kubeba jukumu la kujenga na kudumisha maadili bora ya utawala ili kupunguza changamoto za rushwa zinazoathiri taifa.
Mbunge Kunambi abarikiwe sana kwa kuwa mkweli kwa Taifa letu hili
 
Back
Top Bottom