Pre GE2025 Kunambi: Waziri nipe kibali nikarabati barabara na Wananchi, serikali mmeshindwa

Pre GE2025 Kunambi: Waziri nipe kibali nikarabati barabara na Wananchi, serikali mmeshindwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Joto kuelekea Uchaguzi

==

Mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi ameiomba serikali kumpa kibali ashirikiane na wananchi kukarabati miundombinu ya barabara katika jimbo la Mlimba ambayo serikali imeshindwa kukarabati.

Kunambi ameyasema hayo wakati akichangia hoja za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu tarehe 03 Februari, 2025 bungeni jijini Dodoma.
 
Miaka yote hiyo alikuwa wapi au huyo mbunge ameingia Jana bungeni?🤣
Nasikia lile Jimbo ambalo Lissu alikuwa Mbunge wake kwa miaka kumi kule Singida HALINA CHANGAMOTO YOYOTE ndio maana mwaka 2020 aliamua kugombea Urais kabisa! Si ndio???
 
Nasikia lile Jimbo ambalo Lissu alikuwa Mbunge wake kwa miaka kumi kule Singida HALINA CHANGAMOTO YOYOTE ndio maana mwaka 2020 aliamua kugombea Urais kabisa! Si ndio???
Si mlisema Jimbo walipochagua wapinzani hampeleki maendeleo? Au umesahau
 
Haa Tutasikia/Tutaona Mengi Sana
Mbunge Amepata Moto Mno
 
Back
Top Bottom