Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Nasikia lile Jimbo ambalo Lissu alikuwa Mbunge wake kwa miaka kumi kule Singida HALINA CHANGAMOTO YOYOTE ndio maana mwaka 2020 aliamua kugombea Urais kabisa! Si ndio???Miaka yote hiyo alikuwa wapi au huyo mbunge ameingia Jana bungeni?🤣
Si mlisema Jimbo walipochagua wapinzani hampeleki maendeleo? Au umesahauNasikia lile Jimbo ambalo Lissu alikuwa Mbunge wake kwa miaka kumi kule Singida HALINA CHANGAMOTO YOYOTE ndio maana mwaka 2020 aliamua kugombea Urais kabisa! Si ndio???
Kwahiyo hakuna maana ya majimbo kuchukuliwa na wapinzani maana hayatapelekewa maendeleo sio?Si mlisema Jimbo walipochagua wapinzani hampeleki maendeleo? Au umesahau
Tuwaulize hayo maendeleo mnayofanya kwa ubaguzi zile ni pesa ya Kodi ya kina Nan?Kwahiyo hakuna maana ya majimbo kuchukuliwa na wapinzani maana hayatapelekewa maendeleo sio?
Jibu swali kwanza.Tuwaulize hayo maendeleo mnayofanya kwa ubaguzi zile ni pesa ya Kodi ya kina Nan?