Elections 2010 Kunani Arumeru mashariki na mangharibi mkoani Arusha..?

Elections 2010 Kunani Arumeru mashariki na mangharibi mkoani Arusha..?

SOKETI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2010
Posts
206
Reaction score
50
Nimekua nikifatilia matokeo ya awali usiku kucha katika vituo vya televisheni za TBC pamoja na Chanel10..pasipo kusikia matokeo wala yaliyojiri ktk majimbo hayo.
kunani huko mbona sikusikii kabisa au ndo wanataka kuchakachua ilo tokeo...
 
Back
Top Bottom