SOKETI JF-Expert Member Joined Jul 24, 2010 Posts 206 Reaction score 50 Nov 1, 2010 #1 Nimekua nikifatilia matokeo ya awali usiku kucha katika vituo vya televisheni za TBC pamoja na Chanel10..pasipo kusikia matokeo wala yaliyojiri ktk majimbo hayo. kunani huko mbona sikusikii kabisa au ndo wanataka kuchakachua ilo tokeo...
Nimekua nikifatilia matokeo ya awali usiku kucha katika vituo vya televisheni za TBC pamoja na Chanel10..pasipo kusikia matokeo wala yaliyojiri ktk majimbo hayo. kunani huko mbona sikusikii kabisa au ndo wanataka kuchakachua ilo tokeo...