Kunani clouds kipindi cha power breakfast!

Kunani clouds kipindi cha power breakfast!

chrissmeck

Senior Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
110
Reaction score
105
Kuna tetesi kwamba mangwiji wa power breakfast masoud na mwenzake wamerejea ilhal PJ na mwenzake out!
 
Tusiwe wagumu kukubali mabadiliko kama wahusika au wananchi wameamua, tuwape ushirikiano
 
Ile si redio binafsi, pengine wako ki uboreshaji zaidi.
 
Jana TCRA walitembelea cloud media wakabaki kuji uma uma tu, kweli kazi na malengo
 
Back
Top Bottom