C chrissmeck Senior Member Joined Nov 14, 2013 Posts 110 Reaction score 105 Apr 3, 2016 #1 Kuna tetesi kwamba mangwiji wa power breakfast masoud na mwenzake wamerejea ilhal PJ na mwenzake out!
Kuna tetesi kwamba mangwiji wa power breakfast masoud na mwenzake wamerejea ilhal PJ na mwenzake out!
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Apr 3, 2016 #2 Hiyo ndio picha halisi ya maisha, rise and fall of Gerald Hando, Kipanya and Fina Mango
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,701 Reaction score 71,056 Apr 3, 2016 #3 Tusiwe wagumu kukubali mabadiliko kama wahusika au wananchi wameamua, tuwape ushirikiano
D Dartz JF-Expert Member Joined Oct 12, 2015 Posts 258 Reaction score 90 Apr 3, 2016 #4 Ile si redio binafsi, pengine wako ki uboreshaji zaidi.
N NJALI JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 1,534 Reaction score 1,090 Apr 3, 2016 #5 Jana TCRA walitembelea cloud media wakabaki kuji uma uma tu, kweli kazi na malengo