Kunani hela za zamani?

Kunani hela za zamani?

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
648
Reaction score
418
Wana jamvi naomba mwenye ufahamu katika hili anijuze,

Kuna jamaa yangu yupo Dar kaniambia zinatafutwa hela za zamani zipo nyingi tatizo miaka ilotajwa hakuna kabsa. Nilipoingia kwenye makolokolo aloniachia bibi nkakuta yapo zaidi ya sabini lakini kwa miaka ilotajwa nkabahatika kupata mbili tu.

Senti kumi ya kutoboka inahitajika ya miaka kati ya 1953-1963 mimi ninayo ya 1956.

Inahitajika pia coin ya sh25 yenye picha ya benki kuu ya Tanzania na iwe ile 1966-1991.

Pia hiyo ninayo inang'aa sana.

Mwenye kujua aniambie zina dili gani na zinalipaje?

Nipo Bukoba.
 
Ni kama ushirikina fulani me nilisikiaga zamani kwa jamaa aliambiwa hivyo hvyo akawa nayo sijui ya malkia elizabeth kashika kifimbo na ndo ilitakiwa,jamaa kapeleka kwa huyo mwitaji ili ampe hela mashart yake ni ya kijinga sana,mojawapo aliambiwa akamlete njiwa aliyefiwa na mumewe ndo kama hvyo alishndwa yani usipoteze mda ni uchawi mtupu.
 
ni uchawi+utapeli. Ukiwaendekeza tu hao,utalia kilio cha mbwa!
 
Wana jamvi naomba mwenye ufahamu katika hili anijuze,

Kuna jamaa yangu yupo Dar kaniambia zinatafutwa hela za zamani zipo nyingi tatizo miaka ilotajwa hakuna kabsa. Nilipoingia kwenye makolokolo aloniachia bibi nkakuta yapo zaidi ya sabini lakini kwa miaka ilotajwa nkabahatika kupata mbili tu.

Senti kumi ya kutoboka inahitajika ya miaka kati ya 1953-1963 mimi ninayo ya 1956.

Inahitajika pia coin ya sh25 yenye picha ya benki kuu ya Tanzania na iwe ile 1966-1991.

Pia hiyo ninayo inang'aa sana.

Mwenye kujua aniambie zina dili gani na zinalipaje?

Nipo Bukoba.
Matapeli. stay away with them
 
kama kweli wanazihitaji watakuwa wanakwenda kuzitumia kwenye ushirikina, tofauti na hapo wanataja kukuliza au kuliza mtu mwingine! btw, hizo sarafu zilizosemwa zitakuwepo benki kuu, kwa nini wao wazitafute mpaka bukoba. haya wambie wakupe pesa sasa hizo ulizopata uone watavyokurusha, hakuna kitu!
 
Back
Top Bottom