Kunani huduma ya CRDB Simbanking?

Kunani huduma ya CRDB Simbanking?

Kama kichwa cha hbr kinavyojieleza, kuna matatizo makubwa sana siku hizi kupata Huduma ya CRDB Bank Simbanking kupitia ile App yao.
Mzee mpunga.wa.kufunga mwaka wa Serikali umeingia? 🤣🤣🤣
 
Check your network connection, me natumia fresh tu.
Kuna muda unataka kufanya muamala, unaingiza password fresh tu. Baada ya hapo kila ukijaribu kufanya muamala wako unaambiwa 'sorry! Operation failed, please try Again' yaani mtu unakuwa huna uhakika wa kukamilisha muamala wako ukiwa unatumia App.
 
Hata nmb mkononi inasumbua kinoma sijui wanakwama wapi ?
 
Nimetembelea jiji la Tanga leo, CRDB ATM za matawi yao hazitoi huduma wala huwezi kutumia VISA kadi kupata huduma kwenye ATM za benki nyingine
 
Back
Top Bottom