CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,781
- 6,139
Kumekuwa na sintofahamu kwa wale wenye mikopo taasisi mbalimbali ukiangalia balance ya Desemba na ukatoa balance ya January utaona marejesho yamefanyika mara mbili.
Nusu umelipa wewe na nusu nyingine imelipwa na asiyejulikana.
Kwa maana kama ikiwa hivi mfanyakazi aliyekuwa na mkopo wa miaka 6 (kwamfano) atamaliza mkopo huo kwa miaka mitatu tu.
Mpaka sasa wapo wanaosema ni tatizo la mfumo na wengine wanasema ni mifuko ya pensheni ambayo imeamua kumsaidia mfanyakazi kulipa nusu ya Deni.
Naamini JF ni sehemu sahihi kupata haya majibu ndani ya muda mfupi nawasilisha.