Najiuliza hivi mama anatulipua?wengine wanasema riba zimeshukaMwenyewe nimeona hivyo,sina majibu kwa kweli
Leo lazima watoe ufafanuzi jF ni kubwa sanaKinachosikitisha mpaka Leo hakuna chombo cha habari au mwandishi wa habari aliyeamua futilia suala hili nakuja na majibu pengine kutoka kwa waziri wenye dhamana na masuala ya fedha au katibu mkuu hazina au kwa msemaji wa serikali
Yani hili suala limekuwa kama fumbo la Imani kuwa Kuna kiama siku ya mwisho so tunambiana tu pasipo kujua uhalisia
Hey wandishi wa habari hamuoni hii ni habari ambayo jamii inaitaji majibu
Mungu akutie nguvuPoleni watumishi wa Mungu, ooh No watumishi wa Umma , maana nyie ndio jalala la kila kitu wamewakatili mishahara hakuna nyongeza mwaka wa sita huu, hakuna kupandishwa madaraja na vyeo lakini bado mnakomaa tu hongereni sana kwa uvumilivu
Na iwe hivyo, kama walivyoamua kutupa na bima ya afya 😇mifuko ya pensheni ambayo imeamua kumsaidia mfanyakazi kulipa nusu ya Deni.
Kumekuwa na sintofahamu kwa wale wenye mikopo taasisi mbalimbali ukiangalia balance ya Desemba na ukatoa balance ya January utaona marejesho yamefanyika mara mbili.
Nusu umelipa wewe na nusu nyingine imelipwa na asiyejulikana.
Kwa maana kama ikiwa hivi mfanyakazi aliyekuwa na mkopo wa miaka 6 (kwamfano) atamaliza mkopo huo kwa miaka mitatu tu.
Mpaka sasa wapo wanaosema ni tatizo la mfumo na wengine wanasema ni mifuko ya pensheni ambayo imeamua kumsaidia mfanyakazi kulipa nusu ya Deni.
Naamini JF ni sehemu sahihi kupata haya majibu ndani ya muda mfupi nawasilisha
Kwa anaefahamu atusaidie atupe ufafanuzi maana wengine hatujaona hayo mabadiliko.Kumekuwa na sintofahamu kwa wale wenye mikopo taasisi mbalimbali ukiangalia balance ya Desemba na ukatoa balance ya January utaona marejesho yamefanyika mara mbili.
Nusu umelipa wewe na nusu nyingine imelipwa na asiyejulikana.
Kwa maana kama ikiwa hivi mfanyakazi aliyekuwa na mkopo wa miaka 6 (kwamfano) atamaliza mkopo huo kwa miaka mitatu tu.
Mpaka sasa wapo wanaosema ni tatizo la mfumo na wengine wanasema ni mifuko ya pensheni ambayo imeamua kumsaidia mfanyakazi kulipa nusu ya Deni.
Naamini JF ni sehemu sahihi kupata haya majibu ndani ya muda mfupi nawasilisha.
Unasikitika nini sasa wakati umelipiwa deni lako?.Kinachosikitisha mpaka Leo hakuna chombo cha habari au mwandishi wa habari aliyeamua futilia suala hili nakuja na majibu pengine kutoka kwa waziri wenye dhamana na masuala ya fedha au katibu mkuu hazina au kwa msemaji wa serikali
Yani hili suala limekuwa kama fumbo la Imani kuwa Kuna kiama siku ya mwisho so tunambiana tu pasipo kujua uhalisia
Hey wandishi wa habari hamuoni hii ni habari ambayo jamii inaitaji majibu
Mwambie aangalia Tena salary slip naona Kuna marekebisho Tena amefanyikaUnasikitika nini sasa wakati umelipiwa deni lako?.
Ni kweli aisee mzigo umerudi vilevileMwambie aangalia Tena salary slip naona Kuna marekebisho Tena amefanyika
Ufafanuzi umetolewa. Angalia vizuri salary slip yako wameongeza maelezo jioni hii.Najiuliza hivi mama anatulipua?wengine wanasema riba zimeshuka