Ni jambo la kutia huruma kwa jinsi walimu wanaosimamia na kusahihisha mitihani ya f2 wanavyo zalilishwa. Kwanza malipo kwa karatasi ni 200/ tu. Afu tenda ya kusahihisha hufanyika kwa moja ya shule ya mbunge mmoja wa CCM kwa DSM zamani ikiwa kanda ya Pwani.
Wadau, naomba tuijadili bila woga.