Arabi Nanjewa
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 325
- 410
mo amekua msemaji, meneja, benchi la ufundi, kamati ya usajili, mwekezaji, kocha. mgawa bodaboda. mgombea hati. soon ataingia uwanjaniMkuu simba kwa sasa mambo yetu tunafanya kimyakimya kelele tumewaachia vyura...angalia hii,hii ni kabda hata timu ya taifa haijaenda egypt but tuliamua tu kukaa kimyaView attachment 1123804
Unasubiri mtafaruku eeeh....we ndo shabiki maandazi ambaye kila unachosikia mtaani na mitandaoni basi unaamini kweli...eti moodewji vitu anavyopost vinahusiana na simba[emoji23][emoji23][emoji23]....we sikihizi umekuwa mtaalamu wa kuingia kichwani kwa watu na kutafsiri anachowaza???or wewe ni mpiga ramli mzee baba???...fisi kawaida siku zote akiona mtu anatembea huwa linafuata nyuma likiwa linajua eti mikono itadondoka...TULIENI DAWA IINGIE VIZURI
John bocco hujaona tumempa 130 milioni wakati Azam walifika 100? Tayari kamwaga sainiDuh kweli hii Kali,msimu huu mnasajili kwa kutumia Facebook?
Jamani mi nasikia Mo Dewji kagoma kutoa pesa za usajili kisa Ni kukosa hati ya timu ya Simba ambayo inashikiliwa na Mzee Kilomoni. Na hiyo ndo iliyopelekea michakato ya kuwasajili baadhi ya wachezaji kama Ajib,Tuyisenge,Kahata,Bwalya, Kambole,etc imebaki kua tetesi maana huku vyura wananipa shida.Wadau ufafanuzi plz mwenye uhakika na hili. Povu ruksa!!!!
Kamati za usajili ni za wana Yanga, ngoja nikupe mfano Pale Barcelona kuna Abdal ni mkurugezi wa ufundi lakini anayemsainisha mchezaji ni Raisi wa Barcelona.
Nilikuwa nadhani verified member mna akili kumbe kuna wengine hamna loh!mo amekua msemaji, meneja, benchi la ufundi, kamati ya usajili, mwekezaji, kocha. mgawa bodaboda. mgombea hati. soon ataingia uwanjani
Msemaji wa klabu ya Simba anafahamika anaitwa Haji s. Manara hata Eddy Woodward huwa anaongea kwenye masuala muhimu yanayoihusu Manchester unite je ni msemaji?Msemaji
Mo sio mtu wa kamati ya usajili ila ni mtoa fedha ili usajili ufanikiwe bodi ya usajili ya klabu ya Simba ndio hufuata matakwa ya Kocha na kutoa mavumba toka kwa Mo ya manji umeyasahau?Kamati ya usajili
Mo atawezajekuwa mtu wa benchi la ufundi? Uwe mtu mzima basi hata kidogo yani awe chini ya Patrick aussems? Akili zingine hizi.Benchi la ufundi
Kocha wa simba anaitwa Patrick aussems na hivi karibuni alisaini mkataba mpya wa mwaka mmoja.Kocha
Naam Mo ni mwekezaji.Mwekezaji
Sawa Kiongozi. Boko Haram saini leo au yupo Misri. Wazee wa magumashiHao wa kamati ya usajili ndo nini, acheni ushamba. Kazi ya kamati ni kutafuta mtu anayehitajika, kumsainisha sio kazi ya kamati ni kazi kiongozi mkuu wa klabu.
Labda nyie Yanga ndo mfumo wenu kamati ndo inamsajili mchezaji, sasa mstake hata wengine watumie mfumo huo.
Klabu gani hiyo ambayo kiongozi mkuu huwa anahangaika na mikaratasi kama anavyofanya mo?Hao wa kamati ya usajili ndo nini, acheni ushamba. Kazi ya kamati ni kutafuta mtu anayehitajika, kumsainisha sio kazi ya kamati ni kazi kiongozi mkuu wa klabu.
Labda nyie Yanga ndo mfumo wenu kamati ndo inamsajili mchezaji, sasa mstake hata wengine watumie mfumo huo.
Mkuu ko mo ni Raisi wa Simba?Kamati za usajili ni za wana Yanga, ngoja nikupe mfano Pale Barcelona kuna Abdal ni mkurugezi wa ufundi lakini anayemsainisha mchezaji ni Raisi wa Barcelona.
Kumbuka mo ni mwekezajiHao wa kamati ya usajili ndo nini, acheni ushamba. Kazi ya kamati ni kutafuta mtu anayehitajika, kumsainisha sio kazi ya kamati ni kazi kiongozi mkuu wa klabu.
Labda nyie Yanga ndo mfumo wenu kamati ndo inamsajili mchezaji, sasa mstake hata wengine watumie mfumo huo.
Hayawahusu mzee baba...kwani mnateseka...hata ukocha tutampa soon...nyie makwasukwasu fc hayawahusumo amekua msemaji, meneja, benchi la ufundi, kamati ya usajili, mwekezaji, kocha. mgawa bodaboda. mgombea hati. soon ataingia uwanjani
Sasa mzee baba chochote anachoandika moodewji lazima mukihusianishe na mambo ya simba...maisha ya upigaji ramli na kuisemea mioyo ya watu yalishapitwa na wakati...leo hii hata moo akiumwa wapiga ramli watakwambia simba ndo inamuumiza kichwa mpaka anaumwa...akiamka asubuhi akaandika "za asubuhi jamani" wapo watu watakwambia ckuhizi anajipendekeza kwa washabiki wa simba ndo mana anasalimia salimia asubuhi...kazi kwelikwelitatizo shule mzee baba.Ukisoma maandishi unaweza jua kuwa huyu ana furaha,amechukia,au ana jambo ambalo linamkera maana maandishi yale yale yaliyomo kichwani mwa mtu.
kwa hiyo mzee baba basi isiwe kesi.Tunataka mwaka huu timu zote za TZ zifanye vizuri kimataifa.Mambo mengine mbwembwe.simba na Yanga haziendi bila mbwembwe
umeandika kwa mihemko sana mkuu. pole sana.Nilikuwa nadhani verified member mna akili kumbe kuna wengine hamna loh!
Mo ni muwekezaji kugawa bodaboda ni sehemu ya ushawawishi au motisha kwa wachezaji, unafahamu kwamba kwa sasa hivi pikipiki za Boxer zinaingizwa Tanzania na yeye?
Msemaji wa klabu ya Simba anafahamika anaitwa Haji s. Manara hata Eddy Woodward huwa anaongea kwenye masuala muhimu yanayoihusu Manchester unite je ni msemaji?
Mo sio mtu wa kamati ya usajili ila ni mtoa fedha ili usajili ufanikiwe bodi ya usajili ya klabu ya Simba ndio hufuata matakwa ya Kocha na kutoa mavumba toka kwa Mo ya manji umeyasahau?
Mo atawezajekuwa mtu wa benchi la ufundi? Uwe mtu mzima basi hata kidogo yani awe chini ya Patrick aussems? Akili zingine hizi.
Kocha wa simba anaitwa Patrick aussems na hivi karibuni alisaini mkataba mpya wa mwaka mmoja.
Naam Mo ni mwekezaji.
Je Mwinyi zahera aliyekuwa akishinda kwenye media na kutoa pesa zake mfukoni kwq ajili ya kuisafirisha timu na mahitaji mengine alikuwa nani?
Mambo ya kishamba hayo tajiri wa timu kumsainisha mchezaji makaratasi ,only in msimbaziMkuu simba kwa sasa mambo yetu tunafanya kimyakimya kelele tumewaachia vyura...angalia hii,hii ni kabda hata timu ya taifa haijaenda egypt but tuliamua tu kukaa kimyaView attachment 1123804
Sadick-gowekoJamani mi nasikia Mo Dewji kagoma kutoa pesa za usajili kisa Ni kukosa hati ya timu ya Simba ambayo inashikiliwa na Mzee Kilomoni. Na hiyo ndo iliyopelekea michakato ya kuwasajili baadhi ya wachezaji kama Ajib,Tuyisenge,Kahata,Bwalya, Kambole,etc imebaki kua tetesi maana huku vyura wananipa shida.Wadau ufafanuzi plz mwenye uhakika na hili. Povu ruksa!!!!
Tasaf fc a.k.a makwasukwasu fc mpo kujifariji.....eti hakuna hati...ukiwauliza hati ya nini wanakwambia hati ya jengo...ukiwauliza mnalijua hilo jengo lilivyopatikana hawajui...hata jengo lao tasaf fc hawajui lilipatikanaje...kuna siku mzee akilimali akiwaambia lile jengo lake tasaf fc watamuamini na watampa,akiwaambia ana hati yake ndo basi tena tasaf fc wote vichwa chini 😂 😂 😂 😂 😂Hakuna hati hakuna usajili. Hakuna bepari anayetaka kupata hasana lazima uwekezaji wake umlipe sasa mnangangania hati? bora wale wa tasafu walishazoea kuwa hakuna mwenye uwezo wa kumiliki timu
Lazima uone ushamba maana hujui mambo...tangu lini shabiki la makwasukwasu fc a.k.a ombaomba f.c likajua mambo yanayoendelea dunianiMambo ya kishamba hayo tajiri wa timu kumsainisha mchezaji makaratasi ,only in msimbazi