Mr Morogoro
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 1,245
- 1,732
Ali saini pre contract...pre contract ni mkataba wa awali kuelekea mkataba kamili na unaruhusiwa kuuvunja....so nimchezaji wa simba kihalali kabisaNasikia alishasaini Polokwane City huyo jamaa hii ipoje na kulikoni??
Mzee kolomoni anahati gani ya simba???we shabiki wa makwasukwasu fc uwe unafuatilia hata historia ya timu yako...hujui hata yale majengo ya simba na yanga historia yalipatikana vipi??...usipojua kuna siku mzee akilimali atawaambia anahati ya yanga na mtamwamini 😂 😂Mzee Kilomoni amedai hati hawezi kupewa wa kuja. .MO kazaliwa Singida
Makwasukwadu fc wanataka eti kamati ya usajili ndo iwasajili wachezaji wakati huko sisi tulishahama kitambo...hawajui kuwa simba ni kampuni sikuhizi inayohusika na usajili ni bodi ya wakurugenzi inayoongozwa na mwenyekiti wetu wa bodi ya wakurugenzi moodewjiMara mo kagoma kutoa pesa, mara anasajili mwenyewe, mwatakaje makwasukwaau?
Makwasukwadu fc wanataka eti kamati ya usajili ndo iwasajili wachezaji wakati huko sisi tulishahama kitambo...hawajui kuwa simba ni kampuni sikuhizi inayohusika na usajili ni bodi ya wakurugenzi inayoongozwa na mwenyekiti wetu wa bodi ya wakurugenzi moodewji
Alosema mo kagoma kutoa hela ni nani?Mara mo kagoma kutoa pesa, mara anasajili mwenyewe, mwatakaje makwasukwaau?
Kila timu inamtia saini kulingana na katiba yao inavyosema, hujaona Perezi wa Madrid, hujaona Bartomeo wa Barcelona alivyokua anamsainisha De JongKlabu gani hiyo ambayo kiongozi mkuu huwa anahangaika na mikaratasi kama anavyofanya mo?
Ushawahi muona Abromovich akifanya kitu kama hicho Chelsea ?
Acha kujifanya unajua
Sasa kinachowauma kumuona Mo akisainisha wachezaji ni niniKumbuka mo ni mwekezaji
Hakuna klabu yoyote duniani utamkuta mwekezaji anakomaa na kusajili wachezaji !!!
Hill swala linakua chini ya technical director ndo mfumo wa kisasa wa kuendesha klabu.
Mkuu simba kwa sasa mambo yetu tunafanya kimyakimya kelele tumewaachia vyura...angalia hii,hii ni kabda hata timu ya taifa haijaenda egypt but tuliamua tu kukaa kimyaView attachment 1123804
Hatutakubali hati ya simba kumpa mpita njiaNdio maana anataka na Hati pia ashike yeye
Hichi kituko, sijawahi kuona Tajiri anapiga picha na mchezaji anaposainiMkuu simba kwa sasa mambo yetu tunafanya kimyakimya kelele tumewaachia vyura...angalia hii,hii ni kabda hata timu ya taifa haijaenda egypt but tuliamua tu kukaa kimyaView attachment 1123804
Hatutakubali hati ya simba kumpa mpita njia
Hilo swali ni vema akapelekewa OKWI BOBAN SUNZUMkuu sasa zile bilioni ishirini mtaipataje
Hilo swali ni vema akapelekewa OKWI BOBAN SUNZU
Hilo swali ni vema akapelekewa OKWI BOBAN SUNZU
Money is power.Ko simba hawana kamati ya usajili / mtu anayesimamia usajili?
Maana naona mo mwenyewe ndo kashika karatasi za mkataba.
Kitu ambacho hutamwona tajiri yoyote wa timu akikifanya.
Kimemuuma nani?Sasa kinachowauma kumuona Mo akisainisha wachezaji ni nini
Sasa Perez ni mwekezaji pale Madrid? Mbona unachanganya mamboKila timu inamtia saini kulingana na katiba yao inavyosema, hujaona Perezi wa Madrid, hujaona Bartomeo wa Barcelona alivyokua anamsainisha De Jong
Mkuu kama hutojali naweza pata jina la hilo groupAjib hawezi kucheza Simba tena na hata ikitokea karudi kwa baba yake Simba misimu sita ijayo atakaa benchi tu.
Alafu ishu ya Mo kutokutoa pesa ni maneno ya mtaani tu (Tetesi) Gor mahia fans wamethibitisha Kahata si mchezaji wao tena wenye chuki wanamponda na wenye kumpenda wanampongeza .
group lipo facebook na hadi linatambuliwa na Gor mahia Fc kwa sababu linaendesha mashindano ya kupata mashabiki wataolipiwa tikiti n.k na Gor mahia official page wana_share.
Mmeanza kelele ndo mana tumewaonesha vitu tulivyofanya but tuliamua tu kukaa kimyaSasa hizi mnaonyesha za nini?