Kunani msimbazi?

Wewe jamaa naona sasa unataka tuu mabishano ya bure.
Kwanza zana ni mchezaji mzuri halafu hapo hapo hana consistency! ni mchezaji gani huyo?? Kamaliza msimu mzima bado tuu hana consistency??? mmh.

Mzamiru yule aliomvaa mtu kama mlevi kule sportpesa cup?
Kiungo hawezi hata kufanya pressing!
Position yake kumiliki mpira ni kiduchu!
Mwili mzito
Anapiga back pass
Hawezi hata ku secure line kati yake na mabeki!
Na huyo dilunga ni hivyo hivyo! Atapiga vichenga viwili vitatu kisha atapiga back pass! halafu eti unafananisha na mwanaume mwenye assist kumi na ushee! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kiungo wa ukweli awe defensive midfielder, attack midfielder, holding midfielder lazima uwe hivyo hao kina mzamiru watavitolea wapi? πŸ˜‚
Usitake nitaje madudu ya zana πŸ˜‚

Kuhusu hiyo CAF naomba niite ni kichekesho cha siku ya leo umenipa! final?? CAF? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Huo ubora wa kikosi ea Africa nzima unaousema kwamba upo simba takwimu za wapi hizo?? Au za kwako kutoka mdomoni??

Halafu eti wanafuatia KCCA ya Uganda!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hii ambayo ilicheza Kombe la CAF ndogo na kina mtibwa??? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ajibu leo ni mbovu mbele ya dilunga!!

What a joke!
 
Jamani kwani mzee Kilomoni kwanini asitoe hati hiyo? Vyura wanatusumbua sana I see!!!
 
Santee kwa taarifa murua kiongizi wangu.
 
Huyo gabacholi anataka kuiteka timu kwa manufaa yake iliyokuwepo kwa miaka chungu nzima hata yeye hajazaliwa. Hilo la kuteka timu na kuifanya ni mali yake binafsi halikubaliki hata kama tutakipiga mchangani ni bora iwe hivyo.

 
Heb kaangalie leo alivokua na sign Hazard madrid perez alkua anahangaika na makaratasi hvhv
Klabu gani hiyo ambayo kiongozi mkuu huwa anahangaika na mikaratasi kama anavyofanya mo?
Ushawahi muona Abromovich akifanya kitu kama hicho Chelsea ?
Acha kujifanya unajua
 
Hatutampa timu gabachori hata kidogo tupo pamoja na mzee kilomoni
 
Hatutampa timu gabachori hata kidogo tupo pamoja na mzee kilomoni
Apewe mara ngapi tena...ndo tushampa hivyo...kajinyonge sasa....alafu nyi mashabiki wa ombaomba fc mambo ya simba hayawahusu...kama mpo pamoja nae mchukueni aje hapo kwenye litimu lenu la makwasukwasu fc aungane na mzee akilimali wamsaidie kazi zahera πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜€
 
Heb kaangalie leo alivokua na sign Hazard madrid perez alkua anahangaika na makaratasi hvhv
Sasa mkuu unajua Perez in nani pale Madrid?
Perez in rais wa klabu sio mwekezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…