DOKEZO Kunani PSSSF? Watumishi wanakatwa lakini michango yao haifiki kwenye mfuko

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Ncha Kali

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2019
Posts
15,335
Reaction score
29,114
Ndugu zangu!

Katika hali ya kusikitisha na kustaajabisha, kumekuwa na vilio vingi sana kwa watumishi wanufaika wa mfuko huo pendwa.

Watumishi wanachama wa mfuko huo wanasema kuwa, ni miezi sasa 'statement' inaonesha kuwa michango yao haijafika PSSSF licha ya kuwa 'salary slips' kusoma kuwa wanechangia.

Nina uhakika na Halmashari moja ambapo vilio hivyo vimetanda, sijui sehemu zingine. Watumishi wanufaika fanyeni kuchungulia kwenye kibubu chenu hicho.

Ncha Kali.

Soma: DOKEZO - Uhuni mkubwa wanaofanyiwa watumishi wa umma katika michango ya PSSF

- Rais Samia: Viongozi wanaiangusha PSSSF, mzigo unaangukia kwa Wachangiaji
 
Ndugu zangu!

Katika hali ya kusikitisha na kustaajabisha, kumekuwa na vilio vingi sana kwa watumishi wanufaika wa mfuko huo pendwa.

Watumishi wanachama wa mfuko huo wanasema kuwa, ni miezi sasa 'statement' inaonesha kuwa michango yao haijafika PSSSF licha ya kuwa 'salary slips' kusoma kuwa wanechangia.

Nina uhakika na Halmashari moja ambapo vilio hivyo vimetanda, sijui sehemu zingine. Watumishi wanufaika fanyeni kuchungulia kwenye kibubu chenu hicho.

Ncha Kali.
Hivi mifumo haisomani, yaani integrated? ambapo kitu kikikatwa kinaingia mahala pake?

Hata hawa waliokopa bank ambapo salary slip itaonesha wamekatwa na bank hizo hela hadi mwajiri azipeleke Bank?

Sijui kuhusu hili naomba kuelimishwa
 
Ndugu zangu!

Katika hali ya kusikitisha na kustaajabisha, kumekuwa na vilio vingi sana kwa watumishi wanufaika wa mfuko huo pendwa.

Watumishi wanachama wa mfuko huo wanasema kuwa, ni miezi sasa 'statement' inaonesha kuwa michango yao haijafika PSSSF licha ya kuwa 'salary slips' kusoma kuwa wanechangia.

Nina uhakika na Halmashari moja ambapo vilio hivyo vimetanda, sijui sehemu zingine. Watumishi wanufaika fanyeni kuchungulia kwenye kibubu chenu hicho.

Ncha Kali.
Wana HATI SAFI zote kasoro moja tu....

Tutaona mengi yasiyotarajiwa
 
Huu mfuko umejaa dhuruma na kutojari malalamiko ya wateja wao! Kimbunga hidaya kiwapige kikianzia na mkurugenzi wao mkuu kwasababu hajitambui analipwa hela ya umma bure!
 
Uko sahihi, ila kama ni mtumishi mnufaika fuatilia kwanza.... inaweza isiwe Halmashari zote.
Report uki vuta Ina ishia Feb mwaka huuu since mwez wa tatu ....salary slip tarehe na mwezi sahihi
 
Back
Top Bottom