Hivi mifumo haisomani, yaani integrated? ambapo kitu kikikatwa kinaingia mahala pake?Ndugu zangu!
Katika hali ya kusikitisha na kustaajabisha, kumekuwa na vilio vingi sana kwa watumishi wanufaika wa mfuko huo pendwa.
Watumishi wanachama wa mfuko huo wanasema kuwa, ni miezi sasa 'statement' inaonesha kuwa michango yao haijafika PSSSF licha ya kuwa 'salary slips' kusoma kuwa wanechangia.
Nina uhakika na Halmashari moja ambapo vilio hivyo vimetanda, sijui sehemu zingine. Watumishi wanufaika fanyeni kuchungulia kwenye kibubu chenu hicho.
Ncha Kali.
Wana HATI SAFI zote kasoro moja tu....Ndugu zangu!
Katika hali ya kusikitisha na kustaajabisha, kumekuwa na vilio vingi sana kwa watumishi wanufaika wa mfuko huo pendwa.
Watumishi wanachama wa mfuko huo wanasema kuwa, ni miezi sasa 'statement' inaonesha kuwa michango yao haijafika PSSSF licha ya kuwa 'salary slips' kusoma kuwa wanechangia.
Nina uhakika na Halmashari moja ambapo vilio hivyo vimetanda, sijui sehemu zingine. Watumishi wanufaika fanyeni kuchungulia kwenye kibubu chenu hicho.
Ncha Kali.
Hii mijamaa ni mijizi! Inashirikia na waajiri kuiba michango ya wafanyakazi! Mimi nimedai mapunjo mwaka wa 11 sijalipwa na hawataki kumbana mwajiri! Walaaniwe!Uko sahihi, ila kama ni mtumishi mnufaika fuatilia kwanza.... inaweza isiwe Halmashari zote.
Report uki vuta Ina ishia Feb mwaka huuu since mwez wa tatu ....salary slip tarehe na mwezi sahihiUko sahihi, ila kama ni mtumishi mnufaika fuatilia kwanza.... inaweza isiwe Halmashari zote.