Inaelekea kuna bifu kati ya vyombo vya habari vya IPP Media na Klabu ya Simba, wamesusa kutangaza habari za Simba kwa zaidi ya miezi mitatu sasa; kuanzia redio-one, ITV na hata magazeti! Hata wakati ligi ya Vodacom inaendelea kiasi kwamba hata matokeo ya mechi kati yao na Yanga haikutangazwa.
Ingekuwa inawahusu Yanga tungefikiria labda ni muendelezo wa ugomvi wao na Manji lakini hili laSimba kuna namna! Wadau leteni data za ndani kama zipo.
Simba kuwasilisha usajili leo
2007-11-26 09:06:38
By Somoe Ng\'itu
Uongozi wa klabu ya Simba umesema kuwa leo unatarajia kuwasilisha majina ya wachezaji wake katika Shirikisho la soka nchini (TFF) ambao itawatumia kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika mapema mwakani.
* SOURCE: Nipashe
Siku hizi wanaitangaza Simba kidogo kidogo kupitia 'Ze Comedy' lakini kutotangaza matokeo ya mechi haina maana.Jamani au Nipashe la Mwananchi Com na sio IPP?
Tanzania beats Ethiopia in African Champions League tie
2008-02-18 07:27:05
DAR ES SALAAM, Feb. 17 (Xinhua)
The Simba SC club of hosts Tanzania on Sunday routed the Awassa City club of Ethiopia 3-0 in their African Champions League first-round tie. The host side led the first half with two unanswered goals.
The Simba, which means lions in the Kiswahili language, travel to Addis Ababa in two weeks' time for the return leg of their first-round tie.
XINHUA
BASI KWA U-BIASENESS WAKE NDIYO SABABU DINI FULANI ILIANZA KAMPENI YA KUSUSIA VINYWAJI VYAKE(COCACOLA)NA WAKAAHIDI KUTENGENEZA "coca cola" za dini yao..............Kwani hamjuwi kuwa Mengi ni Yanga?
Inaelekea lile bifu limeisha!
Leo katika taarifa yao ya habari aitivii wametangaza kipondo cha 4-0 walichsulubiwa Simba huko Aba na Enyimba ya huko.
Shukrani za dhati watangazaji wa aitivii kwa kuitikia wito wa wadau.
Sawa mkuupoeni sana Simba SC, jitieni moyo, mjipange vizuri mnaweza kushinda tu. Kwani wao wanaweza wananini? nasi tushindwe tuna nini? ila acheni kuwaponda YANGA.