Kunani Singida Fountain Gate

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Naona washatoa thank you kwa wachezaji bora zaidi ya 13

Nimeshangaa wamemwa striker hatari Elvis Rupia na wangine.

Ndo kusema madeni yamewaandama wakaamua kufuta team.

Nasikia mmiliki wa SFG ameinunua Ihefu na ameamua kuitelekeza Singida kwa kuzidiwa na madeni na makatazi ya fifa kutosajili.

TFF chunguzeni hujuma hizi.

Singida FG wamefanya utapeli wa kusajili wachezaji na kutowalipa na kufuta team kimakusudi na huku wakimiliki team nyingine ndani ya league moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana ndiomana Thomas Ulimwengu alishtuka mapema tangu mwanzo wa msimu

cc Hussein Massanza
 
nimecheka sana ngoja na msemaji wao Hussein Massanza nae aione hii ili ikiwezekana aweze kuitolea ufafanuzi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…