Kunani wengine hatujapata mshahara wa Julai?

Kunani wengine hatujapata mshahara wa Julai?

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
744
Reaction score
1,621
Mshahara umetoka Jana ila naona wengine bado haujasoma.

Mwanzoni nilijua Niko peke yangu ila nimesikia watu kadhaa nao pia wanalalamika

Mimi Binafsi sijawahi kutia Nia popote kwahiyo tafadhali Sana.

Na hii tabia ya kuingiza mshahara kwa mafungu sio tabia ya uchumi wa Kati.

Je, Kuna mwingine nae hajapata humu?
 
Mshahara umetoka Jana ila naona wengine bado haujasoma,
Mwanzoni nilijua Niko peke yangu ila nimesikia watu kadhaa nao pia wanalalamika,
Mimi Binafsi sijawahi kutia Nia popote kwahiyo tafadhali Sana...

Na hii tabia ya kuingiza mshahara kwa mafungu sio tabia ya uchumi wa Kati...

Je Kuna mwingine nae hajapata humu?
muda bado
 
We unawaza mshahara leo.... wakat wenzako huko private wanasubiri paka tarehe 40
 
Yani ndiyo kwanza siku mbili tu zimepita umekosa uvumilivu
 
Mshahara umetoka Jana ila naona wengine bado haujasoma.

Mwanzoni nilijua Niko peke yangu ila nimesikia watu kadhaa nao pia wanalalamika

Mimi Binafsi sijawahi kutia Nia popote kwahiyo tafadhali Sana.

Na hii tabia ya kuingiza mshahara kwa mafungu sio tabia ya uchumi wa Kati.

Je, Kuna mwingine nae hajapata humu?
Fanya kazi
 
Back
Top Bottom