Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
muda badoMshahara umetoka Jana ila naona wengine bado haujasoma,
Mwanzoni nilijua Niko peke yangu ila nimesikia watu kadhaa nao pia wanalalamika,
Mimi Binafsi sijawahi kutia Nia popote kwahiyo tafadhali Sana...
Na hii tabia ya kuingiza mshahara kwa mafungu sio tabia ya uchumi wa Kati...
Je Kuna mwingine nae hajapata humu?
Ndio ,We unawaza mshahara leo.... wakat wenzako huko private wanasubiri paka tarehe 40
Anafikiri wote mnaweza fanana mkuuNdio ,
Kwasababu Mimi sipo kwenye private mkuu
Tarehe 25 unasema muda badomuda bado
Tarehe 40 ndiyo tarehe ipi kwenye carendaWe unawaza mshahara leo.... wakat wenzako huko private wanasubiri paka tarehe 40
Crdb wameweka saa ngapi, asubuhi nilipita bado account ipo kavucrdb tayari
Fanya kaziMshahara umetoka Jana ila naona wengine bado haujasoma.
Mwanzoni nilijua Niko peke yangu ila nimesikia watu kadhaa nao pia wanalalamika
Mimi Binafsi sijawahi kutia Nia popote kwahiyo tafadhali Sana.
Na hii tabia ya kuingiza mshahara kwa mafungu sio tabia ya uchumi wa Kati.
Je, Kuna mwingine nae hajapata humu?
Lloyds Bank napo Tayari.crdb tayari
Hands up [emoji445]Lloyds Bank napo Tayari.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Bank ganiTayari
tupo kwenye right trackKumekucha [emoji23][emoji23]
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hands up [emoji445]