Kunani wizara ya afya na ustawi wa jamii...!!??

Mchimbwi

Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
38
Reaction score
4
Hii ni ajabu kweli kweli kwa nchi inayotafuta wataalamu katika kada mbalimbali!!hebu angalia maajabu ya badhi ya wizara zetu hapa nchini,zinatangaza nafasi za kujiunga na masomo katika madaraja tofautitofauti lakini wanaweka vikwazo na huku wakijua vijana wengi wanazihitaji nafasi hizo kwa muda mrefu bila mafanikio na hatima yake wanaweka link katika vipindi vya mtu kuhitimu masomo,mfano mwaka huu wizara ya afya imetoa nafasi kwa wale walio maliza 2008 on wards,sasa itakuwaje walio hitimu nyuma kabla ya 2008 na walikuwa wakiomba kwa kipindi cha hata miaka 2 na wanasifa bila mafanikio??ina maana serikali imewatenga na watafanya nini vijana hawa??
 
Labda kuna watoto au mtoto wa mkulu kamaliza 2008 so ndiye anayekuwa kigezo cha kujiunga na hicho chuo mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…