Sasa mbona wasanii wa Marekani hawajali sana kuhusu hivi vitu, hata wale wanaochipukia kule huwa hawashoboki kama sieKama ujue ungekuja na notion ya kuuliza views ni personal selling tosha (promotion) ya msanii unakubalika vipi na mziki wako una spread vipi duniani sometimes unaweza ukatumia ku locate washabiki wako na matangazo Dr. mwaka anajua .vilevile views ni kama kugongewa likes za kutosha JF
Umejuaje kama hawajali?Sasa mbona wasanii wa Marekani hawajali sana kuhusu hivi vitu, hata wale wanaochipukia kule huwa hawashoboki kama sie
Sahiv youtube wameanza kulipa nusu gharama iwapo video yako inafikisha viewes 1m kwenda juu,Huu mchezo nilihisi tunaushabikia tuu sie waTanzania kwa wasanii wetu tena nilihisi ni ushindani kati ya timu mbili zisizokuwa na uwanja yaani Team Diamond a Team Alikiba ila nimeshangaa kuona P-SQUARE wanashangilia kwa nyimbo yao kufikisha Views 1,000,000+ ki ukweli nimeshangaa maana hawa ni wasanii wakubwa Duniani, mbona wasanii wengine hususani kutoka Marekani hawafanyi hivi vitu tuseme kwa Afrika views nyingi ni deal sana.
Nawasilisha
Chris brown huwa anapost fuatilia utaonaSasa mbona wasanii wa Marekani hawajali sana kuhusu hivi vitu, hata wale wanaochipukia kule huwa hawashoboki kama sie
Sasa mbona wasanii wa Marekani hawajali sana kuhusu hivi vitu, hata wale wanaochipukia kule huwa hawashoboki kama sie
nimtafte namimi nimuone akijisifia as long as ulikokusema kumpata ni rahisi, labda alikua anajisifia kwa wimbo upi kupata views nyingi make kwake ni kawaida sanaJuzi nimeona Chris Brown anajipongeza kwa kupata views wengi YouTube. Au unasema wamarekani gani? Kwa taarifa yako tu, haya mambo huko ndio yalikoanzia sisi tunaunga tela tu.
nimtafte namimi nimuone akijisifia as long as ulikokusema kumpata ni rahisi, labda alikua anajisifia kwa wimbo upi kupata views nyingi make kwake ni kawaida sana
EH EH DOGO ANAKURUPUKA UNAMBEBESHA NONDO NZITO MKUU...MZEE WANGU ANAUSEMI KAMA HUJUI KITU NI BORA USICHANGIEBosi unapotosha umma, wasanii wote duniani hujili sana views, mfano Justin Bieber na Ne-Yo walikamatwa wakiwa na viwes feki zoka fyekwa mwaka 2014, kina Adele, Katty Perry etc huwa wana post kwenye social networks zao jinsi walivo fikisha watu wengi nk.
Hata Billboard wana kipengele cha chat za you tube tuu.
Ukitaka kujua fuatilia tuu, hata uki google unaona habari hizo.
kumbe hadi mbele wananunua viewsBosi unapotosha umma, wasanii wote duniani hujili sana views, mfano Justin Bieber na Ne-Yo walikamatwa wakiwa na viwes feki zoka fyekwa mwaka 2014, kina Adele, Katty Perry etc huwa wana post kwenye social networks acc. zao jinsi walivo fikisha watu wengi nk.
Hata Billboard wana kipengele cha chat za you tube tuu.
Ukitaka kujua fuatilia tuu, hata uki google unaona habari hizo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]EH EH DOGO ANAKURUPUKA UNAMBEBESHA NONDO NZITO MKUU...MZEE WANGU ANAUSEMI KAMA HUJUI KITU NI BORA USICHANGIE